Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

WATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUSOMA KATIBA, SHERIA, KANUNI ZA TUME

July 18, 2025

Wanablogu 200 wa TBN Kunufaika na Mafunzo ya Uzalendo na Weledi

July 17, 2025

DED MCHAU ATOBOA SIRI YA MAFANIKIO UFAULU KIDATO CHA SITA HALMASHAURI WILAYA YA RUNGWE

July 16, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • WATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUSOMA KATIBA, SHERIA, KANUNI ZA TUME
  • Wanablogu 200 wa TBN Kunufaika na Mafunzo ya Uzalendo na Weledi
  • DED MCHAU ATOBOA SIRI YA MAFANIKIO UFAULU KIDATO CHA SITA HALMASHAURI WILAYA YA RUNGWE
  • ANAYEFANYA KAZI BILA ‘PRESS CARD’ ANAVUNJA SHERIA
  • Dkt. Mpango: Ni Wakati wa Wanahabari Waafrika Kuandika Habari Chanya Kuhusu Afrika
  • WATENDAJI UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 WAFUNDWA
  • WALIMU 900 SEKONDARI MIKOA SABA WAPEWA DOZI KUFUNDISHA TEHAMA, RC MALISA AFUNGUA MAFUNZO SIKU TANO
  • SIRI YA UTAJIRI WA MWALUNENGE HII HAPA AWEKA BAYANA HAJATUMIA UGANGA WA MIUJIZA
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso (Mb) Awasili Paris
Uncategorized

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso (Mb) Awasili Paris

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 13, 2024No Comments7 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso (Mb), leo Tarehe 13 March 2024 Tarehe amewasili Paris nchini Ufaransa na kupokelewa na mwenyeji wake Mhe Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Ali Jabir Mwadini kwa mwaliko maalum wa Benki ya Maendeleo ya Ufaransa (Agence Française de Développement – AFD). Paris-Ufaransa.

 

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso (Mb), leo Tarehe 13 March 2024 Tarehe amewasili Paris nchini Ufaransa na kupokelewa na mwenyeji wake Mhe Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Ali Jabir Mwadini kwa mwaliko maalum wa Benki ya Maendeleo ya Ufaransa (Agence Française de Développement – AFD).

 

Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Aweso atafanya mazungumzo na Mheshimiwa Chrysoula Zacharopoulou, Waziri wa Nchi-Maendeleo ya Uchumi Ufaransa (Secretary of State for Economic Development) pamoja na Uongozi wa Shirika la AFD.

Mazungumzo hayo yatajikita katika uwekezaji na utekelezaji wa awamu ya pili ya Programu ya Maji na Usafi wa Mazingira Ziwa Victoria katika Jiji la Mwanza ambapo awamu ya kwanza imetekelezwa kwa ushirikiano baina ya Serikali, Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank) na Benki ya maendeleo ya Ufaransa (AFD) kwa gharama ya takribani Euro Milioni 135.5 

Aidha Waziri Aweso atafanya mazungumzo na Uongozi wa Benki ya Maendeleo AFD ukiongozwa na Marie-Hélène LOISON Naibu Meneja Mkuu wa AFD ambapo kwa pamoja watajadili utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati inayoendelea katika miji ya Shinyanga na Morogoro inayofadhiliwa na Serikali ya Ufaransa kupitia Benki yake ya Maendeleo (AFD) kwa gharama ya Jumla ya Euro 145 milioni.

Vilevile, mazungumzo hayo yatahusu kupanua wigo wa uwekezaji katika Programu ya Maji na Usafi wa Mazingira katika Ziwa Victoria awamu ya Pili yenye thamani ya Euro Milioni 180.

Katika hatua nyingine, Mheshimiwa Aweso atashiriki katika mahafali ya watumishi wa Sekta ya Maji katika chuo cha AgroParsTech kupitia ufadhili wa AFD ikiwa ni pamoja na wakurugezi wa Mamlaka za Maji waliokua wakiongeza ujuzi.

Katika hafla hii inatarajiwa kuwa Mheshimiwa Aweso atafanya mazungumzo ya kuanzisha ushirikiano kati ya AgroParisTech na Chuo cha Maji.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

TUME YA UCHAGUZI YAPONGEZWA MAANDALIZI UCHAGUZI MKUU 2025

June 9, 2025

AFISA MTENDAJI MKUU WA AfD AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA BODI YA GPE MJINI PARIS LEO

June 4, 2025

Wizi wa Bima Wafumuliwa, Serikali Yapanga Mashambulizi

May 16, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024174

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202484

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202570

DKT. TULIA ATOA MSAADA WA VIPAZA SAUTI MSIKITI WA MASJID BI FATMA NZOVWE JIJINI MBEYA

March 29, 202460
Don't Miss

WATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUSOMA KATIBA, SHERIA, KANUNI ZA TUME

By Mbeya YetuJuly 18, 20250

Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Sheria wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Cyprian…

Wanablogu 200 wa TBN Kunufaika na Mafunzo ya Uzalendo na Weledi

July 17, 2025

DED MCHAU ATOBOA SIRI YA MAFANIKIO UFAULU KIDATO CHA SITA HALMASHAURI WILAYA YA RUNGWE

July 16, 2025

ANAYEFANYA KAZI BILA ‘PRESS CARD’ ANAVUNJA SHERIA

July 16, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

WATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUSOMA KATIBA, SHERIA, KANUNI ZA TUME

July 18, 2025

Wanablogu 200 wa TBN Kunufaika na Mafunzo ya Uzalendo na Weledi

July 17, 2025

DED MCHAU ATOBOA SIRI YA MAFANIKIO UFAULU KIDATO CHA SITA HALMASHAURI WILAYA YA RUNGWE

July 16, 2025
Most Popular

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024174

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202484

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202570
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.