Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Niliwahi kuandikiwa wasifu wa kifo Hospitalini ila leo nawambia siri ya kupona

July 30, 2025

HUJUMA NYINGINE KUBWA WIZI DHIDI YA MAJI MAMLAKA YA MAJI MBEYA

July 29, 2025

Nilipigwa na butwaa kuona jina lake kwenye hati ya shamba la Sugar Daddy

July 29, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Niliwahi kuandikiwa wasifu wa kifo Hospitalini ila leo nawambia siri ya kupona
  • HUJUMA NYINGINE KUBWA WIZI DHIDI YA MAJI MAMLAKA YA MAJI MBEYA
  • Nilipigwa na butwaa kuona jina lake kwenye hati ya shamba la Sugar Daddy
  • LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)
  • Siku ya kwanza kumbeba mtoto wangu
  • WAANDISHI WA VITABU NCHINI WAGEUKIA VIJIJINI KUHAMASISHA USOMAJI WA VITABU KWA WATOTO
  • Aliniambia siwezi kuwa mrembo bila upasuaji, ila sasa nalipwa kupiga picha za vipodozi
  • Hii hapa njia niliyotumia na kushinda bet, sasa ni tajiri mkubwa!
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป VIJANA CCM MBEYA DC WAJIPANGA KUPIGA KURA OKTOBA 2025.
Habari za Kitaifa

VIJANA CCM MBEYA DC WAJIPANGA KUPIGA KURA OKTOBA 2025.

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJune 13, 2025No Comments2 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Wananchi wa Jimbo la Mbeya vijijini hususani vijana wamehimizwa kujiandaa kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 kwa maelezo kuwa ni haki yao kuchagua viongozi wanaowataka kwa mujibu wa katiba kwa maendeleo yao.

Wito huo umetolewa na Gabriel Kilembe afisa kutoka ofisi ya Mbunge wa Mbeya vijijini Oran Njeza wakati akizungumza na wananchi hususani vijana katika kata ya Inyala waliokusanyika kwa ajili ya bonanza la michezo na kukutanisha vijiji ikiwemo vya Inyala na Darajani.

Kilembe amewapongeza vijana kwa kuendelea kushirikiana na viongozi wao kuanzia ngazi ya vitongoji ambao wamekuwa chachu ya kusogeza huduma za maendeleo kwenye maeneo yao katika sekta mbalimbali.

Amesema Serikali imefanya mambo mengi ya kimaendeleo ikiwemo usambazaji huduma ya umeme kote vijijini, ujenzi wa shule, uboreshaji huduma za afya, miundombinu ya barabara na maeneo mengineyo hivyo kuwataka vijana kuwa kielelezo kwa kujitokeza kushiriki uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu ili kuchagua viongozi bora anaodai watasimamishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Amesema pia Mbunge wa Mbeya vijijini Mhe. Oran Manasse Njeza amekuwa mdau mkubwa wa sekta ya michezo ndio maana ameendelea na ugawaji jezi kwenye timu zaidi ya arobaini katika kata mbalimbali za jimbo hilo na kuahidi kuendelea kushirikiana na wananchi wake katika nyanja mbalimbali.

Fredy Mwampashi ni kiongozi wa vijana wa itifaki wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mbeya vijijini, amewataka wananchi kuendelea kumuunga mkono Mbunge wa Mbeya vijijini Oran Njeza kwani ni kiongozi mahili, msikivu, mchapa kazi na muadilifu ndio maana amepewa nafasi ya kuongoza kamati ya kudumu ya bajeti Bungeni kama mwenyekiti wa kamati hiyo nyeti.

Baadhi ya wananchi waliozungumza nasi wamesema watahakikisha wanashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu kwakuwa ni takwa la kikatiba na kueleza kupuuza madai ya baadhi ya wananchi wanaopinga kufanyika kwa uchaguzi mkuu.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

VYAMA VYA SIASA VYAHAKIKISHIWA UWANJA SAWA UCHAGUZI MKUU 2025

July 27, 2025

WATANZANIA MILIONI 37 KUPIGA KURA TAREHE 29 OKTOBA, 2025

July 26, 2025

Daraja la Masagi Wilayani Iramba kufungua mawasiliano vijijini

July 24, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024177

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202485

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202577

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 202561
Don't Miss
Uncategorized

Niliwahi kuandikiwa wasifu wa kifo Hospitalini ila leo nawambia siri ya kupona

By Mbeya YetuJuly 30, 20250

Hospitali moja kubwa jijini Dar es Salaam iliwahi kuandaa wasifu wa kifo kwa mgonjwa ambaye…

HUJUMA NYINGINE KUBWA WIZI DHIDI YA MAJI MAMLAKA YA MAJI MBEYA

July 29, 2025

Nilipigwa na butwaa kuona jina lake kwenye hati ya shamba la Sugar Daddy

July 29, 2025

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Niliwahi kuandikiwa wasifu wa kifo Hospitalini ila leo nawambia siri ya kupona

July 30, 2025

HUJUMA NYINGINE KUBWA WIZI DHIDI YA MAJI MAMLAKA YA MAJI MBEYA

July 29, 2025

Nilipigwa na butwaa kuona jina lake kwenye hati ya shamba la Sugar Daddy

July 29, 2025
Most Popular

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024177

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202485

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202577
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.