Mtaa mmoja wa jijini Dar es Salaam umegeuka gumzo kubwa baada ya wazazi wawili kuibuka na hadithi ya kushangaza kuhusu binti yao aliyekuwa akiwaletea misukosuko. Kwa miaka mingi walilalamika kuwa mtoto wao wa kwanza, licha ya kusoma na kupata kazi nzuri, hakuwa na heshima wala nia ya kuwasaidia kifedha.
Majirani walijua familia hiyo ilikuwa ikiteseka kimya kimya, huku wakiona binti yao akiishi maisha ya starehe bila kuwajali wazazi wake.
Habari ilitamba mitaani pale ilipoanza kuonekana wazi kuwa binti huyo sasa amekuwa tofauti kabisa. Alianza kuonekana kila mwisho wa mwezi akiwapa wazazi wake sehemu kubwa ya mshahara wake. Wengi walidhani ni mafunzo ya dini au shinikizo la kifamilia ndilo lililomfanya abadilishe mienendo yake. Lakini ukweli halisi ulipoibuka, uliwafanya wengi kustaajabu zaidi.
Wazazi wake waliamua kuchukua hatua ya siri ambayo hawakumshirikisha mtu yeyote. Walisema walichoshwa na hali ya kudharauliwa na binti waliomsomesha kwa mateso mengi. Soma zaidi hapa