WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 18, 2025 amekagua majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela ambayo yaliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za watu binafsi zilizoathiriwq na vurugu zilizotokea Oktoba 29 Mwaka huu nchini.

Trending
- WAZIRI MKUU AKAGUA ATHARI KWENYE MAJENGO YA MAMLAKA YA MJI MDOGO KYELA
- Alinyimwa Kazi Mara 15 Mfululizo Lakini Uamuzi Mmoja Ulimweka Ofisini Ambayo Aliomba Kazi Zamani
- VIBE: CUoM: Maandamano ya Wanachuo 2,819 Yatingisha Jiji la Mbeya
- Mahundi Awataka Wahitimu Kutumia Elimu kwa Maendeleo ya Jamii
- KOCHA MEXIME AAHIDI KUREJESHA FURAHA KWA MASHABIKI MBEYA CITY FC, KUSHUSHA ”VIFAA” DIRISHA DOGO
- *DKT. MWIGULU AMBANA MKANDARASI UJENZI WA BARABARA YA KITAI-RUANDA*
- MBEYA UWSA YAONGEZA UFANISI, NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MAGARI YA KISASA
- Kila mwanamke mzuri alimuacha kabla ya kupata msaada huu

