Kila mwaka ulipofika mwisho, nilikuwa na wasiwasi badala ya matumaini. Januari kwangu haikuwa mwanzo mpya, bali mwanzo wa matatizo mapya. Ndani ya wiki chache za kwanza, pesa zilipotea bila mpangilio, mipango ilivurugika, na hata mahusiano yalikuwa na misukosuko isiyoelezeka.
Ilifika mahali nikaanza kuogopa kuhesabu siku za mwaka mpya. Nilijiuliza mara nyingi kwa nini wengine huanza mwaka wakiwa na furaha na mafanikio, huku mimi nikiingia nikiwa nimebebeshwa mzigo wa mikosi.
Nilijaribu kupanga malengo, kuandika resolutions, na hata kubadilisha marafiki, lakini hali ile ile ilijirudia. Mwaka uliopita ulikuwa wa mwisho kwangu kukubali kuingia Januari nikiwa msikivu kwa shida. Soma zaidi hapa

