Wananchi wa Kata ya Iyela, Jijini Mbeya, wameiomba Serikali kuangalia kwa jicho la huruma barabara ya eneo la Hali ya Hewa hadi Kituo cha Afya Iyela, wakieleza kuwa barabara hiyo imekuwa katika hali mbaya kwa zaidi ya miaka kumi. Wamesema barabara imejaa mashimo makubwa yanayosababisha vyombo vya usafiri ikiwemo bajaji na pikipiki kushindwa kupita kwa urahisi, hali inayowaathiri wananchi hususan wagonjwa wanaoelekea kupata huduma za afya katika kituo hicho.
Trending
- SIMBA WA VITA MZEE RASHIDI MFAUME KAWAWA AMBAYE ANGEKUWA HAI JANA ANGETIMIZA UMRI WA MIAKA 100
- Mwalupindi Akabidhi Tuzo Vitabu na kufuturisha wanafunzi Kuimarisha Elimu Sangu Sekondari
- VIONGOZI WA KIDINI,MAKUNDI YA KIJAMII WAPEWA SEMINA SAPOTI YA KISAIKOLOJIA KWA JAMII
- TAKUKURU MBEYA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 100, YAIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA
- Mfumo wa kidigitali wa Vyeti vya Uasili kupitia Chemba ya Taifa ya Biashara Tanzania (TNCC) waanza rasmi Machi 2, 2026
- MAHUNDI: SERIKALI KUIMARISHA ELIMU YA MALEZI KUPITIA KAMPASI YA KISANGARA
- Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya na NHIF Mkoa wa Mbeya waelimisha walemavu kuhusu Bima ya Afya
- Serikali na TNCC Kuunganisha Mifumo Kidigitali, TRA Yaimarisha Ukusanyaji Mapato

