Kila mara nilipopata pesa, ndoto zangu za kuishi kwa utulivu zilikuwa zikidhoofika. Nilijaribu kuokoa kila shilingi, lakini mara zote zilikuwa zikitoweka kwa sababu ambazo sikuwa nafahamu.
Nilijikuta nikiwa nimeshikwa na hofu isiyoelezeka kila nikipokea kipato changu. Hii haikuwa maisha niliyotarajia, na kila siku nilipita nilijiona nikishindwa. Nilijaribu njia mbalimbali za kifedha. Soma zaidi hapa

