Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, ametoa vifaa vya kusomea kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum wa Shule ya Msingi Nsalala, Halmashauri ya Mbeya. Vifaa hivyo vikiwemo kompyuta mpakato na rekoda za sauti vinalenga kuboresha mazingira ya ujifunzaji na kuhakikisha elimu bora kwa usawa. Akikabidhi msaada huo, Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Bi. Erica Yegera, amesema ni uthibitisho wa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita katika utekelezaji wa sera ya elimu jumuishi.
Trending
- MADAKTARI BINGWA WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MKOANI MANYARA
- Serikali Yakabidhi Vifaa vya Kujifunzia kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Nsalala
- Nilipata Miscarriage Mara Tano Hadi Nikapoteza Ndoto Zangu Za Kuwa Mama Mpaka Nilipopata Usaidizi Usio na Madhara
- Nilifanya Kazi Kwa Miaka Miwili Bila Kupata Promotion Ila Nilijitafutia Hiyo Promotion Mwenyewe
- Ndoa Yangu Ilikuwa Karibu Kuvunjika Lakini Siri Hii ya Mwisho Iliokoa Mapenzi Yetu
- Walidhani Ni Bahati Tu Lakini Ukweli Uliofichuka Ulishangaza Kila Mtu
- NAIBU WAZIRI MAHUNDI AWASIHI WANAFUNZI TENGERU, KUTUMIA ELIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII
- Aliiba Kila Siku Bila Kuonekana Siku Moja Hatua Moja Ilimrudisha Mwenyewe Akiwa Ametikisika

