Author: Mbeya Yetu

Naitwa Leah kutoka Moshi, nina wanaume watatu, mmoja yupo Ulaya, huyu alikuwa ananimbia eti kwenda kule ni shida ila tuombe sana njia zifunguke ila mchakato uwende kwa haraka, nikamuuliza lini sasa akanijibu ataniambia. Ila hana noma fedha ananitumia na tuna miaka miwili kwenye mahusiano na kweli anaonyesha kunipenda na ana nia na mimi maana kila mara anasema anataka kunioa. Wapili ni ex yupo Arusha, tuliachana kwa ugomvi kw asababu nilikua namsumbua anioe, maneno yalikua mengi nikajikuta namfokea sana nikawa namlazimisha akamua kunicha akidai hajajipata illa sasa hivi amerudi na anasema yupo tayari anataka kunioa. Mwingine yupo Dar es Salaan, sijawahi…

Read More

Naitwa Ummy kutokea Zanzibar, ni binti wa miaka 24, nimemaliza chuo mwaka uliopita, sasa mwishoni mwa 2021 nilianza mahusiano na huyo kaka mwenye miaka 31 kwa sasa. Mwaka 2022 alikua anataka nimzalie mtoto nikamwambia kwa huo muda siwezi kuzaa nikiwa nasoma pia nikiwa kwa wazazi akasema basi 2023 nitazaa nikasema nitafikiria, 2023 ilipofika pia majibu yangu hayakubadilika nilibaki na msimamo uleule. July 2024 baada ya kumaliza chuo tulipishana kwa suala la kuzaa mimi nikadai siwezi kuzaa nikiwa naishi kwa wazazi akatulia, sasa nilipomaliza chuo aliniambia niende kwake nilienda alipokua anaishi ni mkoa tofauti nikakaa kama wiki mbili hivi. Nilienda nikiwa…

Read More

Kwa majina naitwa Aisha Said, natokea Pwani, Tanzania, ni mwanamke wa miaka 25, ni single mama wa mtoto mmoja, nilikaa mwaka mmoja baada ya kuachana na mzazi mwenzangu ndio nikaanzisha mahusiano na kaka mmoja. Kaka huyo ni mtu wa Zanzibar, kwenye mahusiano yetu alikuwa ananijali sana mimi pamoja na mtoto wangu, kwa hilo simsemi vibaya ila shida aliyokuwa nayo ni mtu anayesusa sana. Yaani hadi anabore kitu kidogo kasusa na akisusa hakutafuti tena hadi wewe umtafute sasa na mimi ikafika wakati nikachoka kukaa nabembeleza mtu, tena mtu mzima ambaye anajielewa kabisa. Mfano kuna siku kunasehem tulipanga kupeleka mtoto kwaajili ya…

Read More

Wanawake wenzangu sikilizeni, wanaume wazuri wapo, wanaume wanaojali familia zao wapo, wanaume wasio chiti kabisa, yaani wapo wanaume wanaojali na wanao watoaji hela haijalishi kipato chake. Wapo wanaume wapole, wapo wanaume wanaosaidia majukumu ya nyumbani na kikazi pia wapo, wanaume waelewa wapo tena wengi tu ni wewe kuamua kuwatafuta huko wanapopatikana napo ni kwa Kiwanga Doctors. Msiishi kwa kukatiri maisha sio mmoja akija na sababu ya ndoa yake anateseka naa wewe unatafuta sababu ya kumsema wako ili tu mpate sababu za kuwasema wanaume mwanamke unapokutana na mwanaume mpumbavu. Basi usijumlishe wote kuwa wapo hivo amini unapoona ubaya basi na wema…

Read More

Naitwa Tamara kutoka Arusha, miaka kama miwili nyuma nikiwa single mother wa watoto wawili, nikampata mwanaume mmoja nikawa nakaa naye ila chumba kimoja na hao watoto wangu. Kusema kweli huyo mwanaume anajali sana ila ndio hivyo maisha yake yalikuwa ni magumu sana, yaani ni anajitafuta na mimi nilimkubalia hivyo hivyo lakini kadri siku zilivyokuwa zinavyoenda nikawa naona hakuna mwelekeo wa maisha. Yaani pesa anayopata kwa siku ni ndogo sana na hakuna hata matumaini kama tunaweza kuongeza chumba kingine huko mbeleni, sasa kulingana na hali hii nikawa mtu wa wasi wasi sana juu ya maisha ya huko baadae. Kichonipa wasiwasi zaidi…

Read More

Naitwa Jesca, nina mpenzi wangu, sasa hapo awali ilikuwa kila nikilala nae lazima ajikojolee. Mwanzo nilikuwa napotezea nikajua labda uwoga au ni mimi mwenyewe nimepitiwa ila nilivyochunguza kumbe yeye ndio kikojozi. Hata kwake nilipoenda nikameona kabisa lile godoro huwa linakojolewa kila siku. Ana upendo wa kweli, nilishajaribu kumuongelesha kwa upendo tutafute hata tiba lakini nikaona mwenzangu ameridhika na hali yake. Anajipenda, ukikutana nae huku nje hutaamini kama ni mkojozi wa kila siku anakojoa hakuna siku anapumzika, tatizo la mwanaume kukojoa ni kuwa lazima mloe wote mkiamka kama mmeshirikiana kukojoa. Tulishalala lodge akakojoa ikabidi tuondoke mapema sana ili wasijue kama tulikojoa.…

Read More

Mkurugenzi wa Halmashauriya Manispaa ya Moshi Mwajuma NAsombe akizungumza wakati wa kikao cha mwisho cha Bajeti cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri . Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Zuberi Kidumo akizungumza jambo katika kikao hicho ,kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mwajuma Nasombe . Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Moshi wakikabidhi keki kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mwajuma Nasombe kama zawadi kutokana na namna alivyosimamia manispaa hiyo pamoja na watendaji wa halmashauri hiyo kufanikisha kupaa kwa mapato ya halmashauri. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mwajuma Nasombe akipokea…

Read More

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Zuberi Kidumo akitangaza ongezeko la mapato ya Halmashauri ya Manispaa ya Moshi . Mkurugenzi wa Hlamshauri ya Manispaa ya Moshi Mwajuma Nasombe akizungumza wakati wa baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Moshi . Baadhi ya Wakuu wa Divisheni na watendaji katika ofisi za Halmashauri ya Manipaa ya Moshi wakifuatilia kikao cha Bajeti cha baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo. Baadhi ya Madiwa wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakichangia mjdala wa Bajeti ya Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakati wa kikao cha Bajeti .  Na Dixon Hussein – Moshi   Manispaa ya Moshi…

Read More