Author: Mbeya Yetu

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole kwa tiketi Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Tulia Ackson amesema atahakikisha Wananchi wa Kata ya Mwakibete ambao hawajanufaika na Mradi wa REA wanafikiwa na Maradi huo ili kuondokana na Changamoto ya Kukosa Umeme. Akizungumza Kwenye Mkutano wa Kampeni zake eneo la Magaerejini Mtaa wa Viwandani Kata ya Mwakibete amewaeleza Wananchi hao kuwa asilimia kubwa ya Wananchi wa Jimbo la Uyole wamefikiwa na Umeme wa REA hivyo atajitahidi kufuatilia ili huduma hiyo iweze kuwafikia wakazi Wote huku akiutaja maradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kama suluhisho la Kudumu kukatika kwa Umeme. Katika hatua nyingine amewahakikishia…

Read More

Leo 29 Oktoba 2025 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole kwa tiketi ya CCM Dkt Tulia Ackson ameendela na Kampeni zake za kuinadi Ilani ya Uchaguzi ya CCM Kata ya Ilemi ambapo amewahidi Wakazi wa eneo hilo Kuhakikisha Barabara ya Juhudi ambayo ni kero Kubwa kwa Wananchi inajengwa kwa Kiwango cha Lami kama ya Mapelele. Dkt. Tulia amesema wakati anaomba ridhaa ya kuliongoza Jimbo la Mbeya Mjini aliahidi Kujenga Barabara ya Mapelele ambayo tayari imekamilika, Pia aliahidi Ujenzi wa Barabara njia Nne ambayo Ujenzi wake unaendelea hivyo kwa sasa atahakikisha Barabara ya Juhudi na Ile ya kwenda Kituo cha Afya…

Read More

Leo 1 Oktoba 2025 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole kwa tiketi ya CCM Dkt Tulia Ackson amesema ahadi zinazotolewa na Chama cha Mapinduzi kwa Wananchi ni zauhakika kwani zimekuwa zikitekelezeka kwa uhakika kutokana na Msimamizi Mzuri unaofanyika Chini ya Serikali inayoundwa na Chama hicho. Akizungumza na Wananchi Kwenye Mkutano wake wa Kampeni eneo la Makondeko Sokoni Dkt. Tulia amesema mifano ya Jambo hilo ipo wazi, wakati anaomba ridhaa ya kuliongoza Jimbo la Mbeya Mjini aliahidi kupatikana kwa hospital ya Wilaya Jambo ambalo limekamika kwa kupata hospitali ya Igawilo ambayo inavifaa na Wataalamu wa kutosha, pia CCM iliahidi Ujenzi wa…

Read More

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Tulia Ackson amesema kwenye Sekta ya kilimo ndani ya Kata ya Iganjo Mgombea Uraisi kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya Kazi Kubwa hasa Kuhakikisha Mbolea za Ruzuku na Pembejeo zote za kilimo hivyo ataendelea kuongeza upatikanaji maradufu wa Ruzuku na Pembejeo za kilimo. Dkt. Tulia amesema anafahamu kwamba ndani ya kata hiyo Kuna kilimo cha umwagiliaji hivyo atahakikisha skimu zote za umwagiliaji zinabireshwa zadisi ili wakulima Wafanye kilimo Bora hivyo ifikapo 29 Oktoba 2025 Wananchi wakapige Kura nyingi kwa CCM ili wakulima wa Jimbo la…

Read More