Author: Mbeya Yetu

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu)  Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume, Dkt. Zakia Mohamed Abubakar.  Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu)  Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume, Dkt. Zakia Mohamed Abubakar.  Mwenyekiti wa Mafunzo, Bw. Khalid Khalif akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo.  Na Mwandishi wetu, Songea Watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura mkoani Ruvuma wametakiwa kuhamasisha wananchi wenye sifa ili wajitokeze kujiandikisha na kupata haki yao ya kikatiba itakayowawezesha…

Read More

Katika utafutaji wa maisha wa sisi vijana kuna changamoto nyingi sana tunapitia, unaweza kumwamini mtu kwa asilimia kubwa lakini akaja kukuangusha kupita maelezo. Jina langu ni Suledai, nilikutana na rafiki yangu tuliyepotezana miaka mingi, baada ya kugundua tunaisha mtaa moja, tuliamua tuanze kuisha pamoja ili tuweze kuchangia kodi na fedha inayobaki tufanyie maendeleo. Sikujua kama angekuwa mbaya kwangu, mwanzoni tuliishi vizuri tu huku tukishirikiana kwa kila kitu ila kadri siku zilivokuwa zinaenda kuna baadhi ya mambo niliona kwake hayakunipendeza sana. Ghafla alianza kuleta wanawake ndani ila nikawa nanyama tu, baadaye akazoea inapita mpaka siku tatu yupo ndani na hao wanawake…

Read More

Jina langu naitwa Sele mkazi wa Malindi nchini Kenya, mimi ni kijana wa umri miaka 25 nilikua na mwanamke nimezaa nae mtoto mmoja na nilikua nikiishi nae tangu ana mimba mpaka akajifungua mtoto wa kiume ambaye nilimpenda sana. Kinyume na matarajio yangu, baada ya muda tabia yake iliaanza kubadilika, akawa tena sio mtu wa kuambilika, wakati mwingine anaongea na wanaume mbele yangu, yaani ilikuwa dharau sana, hakuniheshimu kama mume wake. Hata kipindi ambacho nilipomuonya aliamua kufungusha na kukaondoka na kunitelekezea mtoto akiwa mdogo sana, cha kusikitisha kabisa sikufahamu alipoelekea. Sikukata tamaa na maisha, basi nikaendelea kupambana mwenyewe tu, mtoto nikaamua…

Read More

Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akikagua mafunzo kwa vitendo ya Waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya biometriki (BVR) kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya mkoani Mbeya leo Desemba 24, 2024. Mkoa wa Mbeya, Iringa na Halmashauri ya Mpwapwa Mkoani Dodoma inataraji kuanza uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Desemba 27 mwaka huu hadi Januari 02, 2025.    Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akikagua mafunzo kwa vitendo ya Waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya biometriki (BVR) kutoka Halmashauri ya Wilaya…

Read More

Naitwa Ally toka Mombasa Kenya, Mama alikuwa na tatizo la kupandisha majini, sijui mashetani na hii hali ikimkuta anakuwa siyo yeye tena, ni kama kuna nafsi nyingine huwa inamvaa, kwa waswahili wenzangu hili sio jambo ngeni. Hayo majini yake yakipanda huwa yanachafua hali ya hewa pale nyumbani balaa, ikafika kipindi yaani watu wote tunamkimbia na kuwaacha wale wazee ambao wanaweza kuongea nao, kuna namna wanafanya wenyewe na yanatulia. Unajua kwanini tulikuwa tunamkimbia?, basi hayo majini yake yakipanda ukajichanganya ukamkera basi atataja na ataongea siri zako zote. Hata zile ulizofanya gizani. Kama uliwahi kumsema vibaya atakwambia, kama baba alichepuka basi ataongea,…

Read More

Naitwa Hussein, mkazi wa Moshi Kilimanjaro, nakumbuka 2015 nilifiwa na Baba yangu, ilikuwa kwenye ajali ya gari, alifariki yeye na aliyekuwa mkewe baada ya kuachana na Mama yangu. Ilikuwa ni uzuni k Naitwa Hussein, mkazi wa Moshi Kilimanjaro, nakumbuka 2015 nilifiwa na Baba yangu, ilikuwa kwenye ajali ya gari, alifariki yeye na aliyekuwa mkewe baada ya kuachana na Mama yangu. Ilikuwa ni uzuni kwangu maana bado nilikuwa ndio nimemaliza Chuo Kikuu kwa hiyo bado nilikuwa sijaweza kuwa na maisha mazuri ya kusema naweza kujitemea moja kwa moja. Nakumbuka kuuna vitu mzee aliviacha, vingine aliandika kwa jina langu maana mimi nilikuwa…

Read More

Jina langu ni Januli, kijina wa miaka 24, naweza kusema katika maisha yangu yote siwezi kusahau tukio la kusingiziwa kuwa nimebaka na kufunguliwa kesi ya uongo Mahakamani. Kibaya zaidi nilikumbana na mkasa huo kipindi ambacho nina hali mbaya kimaisha, ni kipindi nilichokuwa nahitaji sana msaada kwa hali na mali kwa maana sikuwa na kazi yoyote ya kufanya. Sote tunakubaliana unapokua katika hali mbaya napambana sana huku na huku ili kupata namna ya kufanikiwa kimaisha maana ukiwa maskini hauthaminiki kabisa. Sasa alitokea mama mmoja ambae alikuwa na taasisi ya kukopesha vijana fedha za kufanyia biashara, kumbe yule mama alikua anatumia ile…

Read More

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linapenda kutoa taarifa ya kifo kilichohusisha
watu watano wa familia moja huko Wilaya ya Chunya.
Ni kwamba mnamo 29.12.2024 saa 8:30 usiku katika Kitongoji cha Nkangi
kilichopo Kijiji cha Isangawana, Kata ya Matwiga, Tarafa ya Kipembawe,
Wilaya ya Chunya, watu watano wa familia moja ya Masiganya Scania [39]
mfugaji, mkazi wa Nkangi walifariki dunia baada ya kupigwa radi kwenye
kambi ya kuchungia Ng'ombe wakati wakiwa wamelala.
Waliofariki katika tukio hilo ni Balaa Scania [28], Kulwa Luweja [17], Masele
Masaganya [16], Hema Tati [10] na Manangu Ngwisu [18] wote wakazi wa
Kijiji cha Nkangi. Aidha, katika tukio hilo watu wengine watano walijeruhiwa
ambao ni Gulu Scania [30], Manyenge Masaganya [13], Seni Solo [13],
Paskali Kalezi [16] na Huzuni Kalezi [19] wote wakazi wa Kijiji cha Nkangi.
Chanzo cha tukio hilo ni mvua kubwa iliyonyesha usiku ikiambatana na radi
hivyo kusababisha vifo vya watu watano na wengine watano kujeruhiwa.
Majeruhi walikimbizwa katika Kituo cha Afya Isangawana kwa matibabu na
walitibiwa na kuruhusiwa kwenda nyumbani baada ya hali zao kuwa nzuri.

Read More