Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
- Dkt. Tulia Aongoza kwa Vitendo, Apiga Kura na Kuhamasisha Ushindi wa CCM Uyole
- DKT MARY MWANJELWA AUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA AHAMASISHA KUJITOKEZA KWA WINGI AMANI IMETAWALA
- Nilivyookoa Ndoa Yangu Baada ya Migogoro Kila Usiku Kuhusu Pesa na Wivu
- MWAKIPESILE: ”TUKAANDAMANE OKTOBA 29 KWA AJILI KUWAPIGIA KURA VIONGOZI KWA AMANI”
- “Tunatiki CCM, Tunatunza Amani” — Kauli ya Bodaboda Kiwira Yakonga Moyo wa Suma Fyandomo
- Nilivyomfanya Mtu Aliyenidharau Kuniheshimu na Kunitegemea Kwa Mambo Mengi
- NABII MPANJI AUTANGAZIA UMMA, WAKRISTO WASISHIRIKI MAANDAMANO WAJITOKEZE KWA WINGI KUPIGA KURA
- Nilivyookoa Biashara Yangu Baada ya Wateja Wote Kupotea Ghafla
Author: Mbeya Yetu
Mimi na huyu Kaka tumekua kwenye mahusiano tangu tuko chuo, tunapendana na kila kitu tunafanya pamoja. Baada ya kumaliza chuo tulianza kuishi pamoja, wote hatukua na kazi, tulihangaika mtaani kama miaka minne hivi. Kipindi hicho tulikua tunapendana sana, yaani kila mtu alikua anatamani mahusiano yetu. Baada ya kuhangaika mtaani sana kutafuta kazi tuliamua kwenda kwa Kiwanga Doctors huko Kenya ili atusaidie kupata kazi. Baada ya mtaalam huyo wa tiba asilia kufanya uganga wake, haikuchukua muda mrefu sana kuna kazi ilitokea, mimi na yeye tumesoma kozi moja, basi kuna rafiki yangu aliniunganishia mimi kuipata hiyo kazi. Lakini kwakua mpenzi wangu alikua…
Naitwa Jesca, mimi ni binti wa miaka 20, nina mtoto wa miezi 9, baba yake ana miaka 29, nilikutan naye toka mwaka 2020, mwaka 2021 tukaanza kuishi sokea tukae tukaenda Arusha mwaka 2023. Basi nikapata mimba ya huyu mtoto ambaye sasa ana miezi 9, kuna siku akaniambia niende kwao kwa sababu nilikuwa naumwa mara kwa mara, hivyo akataka nikae sehemu nitulie. Basi nikaja mpaka kwao nilivyokaa sawa akaniambia nijifunze cherehani huku huku nikiwa kwao, nikakubali mwaka 2024 mwez 5 nikajifungua salama, nikala uzazi nikamwambia nitumie nauli nije, akawa ananizungusha tu mpak mtoto akafikisha miezi 9. Matumizi ananitumia kwenye simu, nakaa…
Jina langu ni Laiza kutokea Arusha, ni mmiliki wa magari madogo madogo ya kusafirisha abiria maeneo ya mjini pamoja bajaj, hivyo ni vitega uchumi wangu ambavyo vinanisaidia sana katika maisha yangu. Hata hivyo, miaka kama minne nyuma ungeambiwa leo hii nitakuwa hapa nilipo ungekataa kabisa maana nilikuwa kijana wa kufanya vibarua vya hapa na pale tu maeneo ya stendi ya magari. Ushindi wangu maishani ulikuja baada ya kushinda zaidi ya Sh43.1 milioni katika bet baada ya kujaribu mara kadhaa na kushauri kupata usaidizi wa ushindi kutoka kwa Kiwanga Doctors ambay anapatikana Migori nchini Kenya. Mtaalum huyu alinifanyia dawa ya ushindi…
Jina langu ni Janeti kutoka Kigoma, nilikuwa na mchumba wangu, yeye ana miaka 45 mimi 35, nina watoto wa 3 na nilimwambia akakubali, yeye alisema alikuwa na mwanamke na walikuwa na mtoto mmoja yupo na mama yake hakumuoa rasmi Alipopata ajira alienda kuolewa huko huko, mwanzo alisema anataka ndoa ya kanisani maana tupo dhehebu moja, lakini baada ya mwezi akaniambia tufunge ndoa ya bomani kwanza ya kanisani inachukua muda mrefu ili nipate uhamisho tuwe karibu kupunguza matumizi. Mimi nikakataa baadaye akasema kama nimekataa basi maana yeye hawezi kuishi pekee yake, nikakubali tufunge ya bomani alisema itakuwa mwezi wa 12 nilitaka…
Wananchi wa Kata ya Itewe, wilayani Chunya, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake katika ujenzi wa daraja jipya ambalo limeboresha miundombinu na kurahisisha usafiri katika eneo hilo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mheshimiwa Juma Zuberi Homera, amepongeza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kazi nzuri ya utekelezaji wa mradi huo muhimu kwa maendeleo ya wananchi.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya UWSA), kupitia Mwenyekiti wa Bodi yake, Bi. Edna Mwaigomole, imekabidhi tenki la maji lenye ujazo wa lita 5,000 kwa Shule ya Sekondari ya Wanawake Tulia, iliyopo Iyunga, Jijini Mbeya.
Hatua hii imekuja baada ya shule hiyo kuwasilisha ombi la msaada wa maji, na mamlaka hiyo kusikia kilio chao. Utoaji wa tenki hilo unalenga kuboresha upatikanaji wa maji safi shuleni hapo, hivyo kusaidia mazingira bora ya kujifunza kwa wanafunzi.
Akizungumza wakati wa makabidhiano, Bi. Mwaigomole alisisitiza dhamira ya Mbeya UWSA ya kuendelea kushirikiana na jamii katika kuhakikisha huduma bora za maji zinapatikana kwa taasisi mbalimbali, hususan shule.
Uongozi wa shule hiyo umeishukuru Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya kwa msaada huo muhimu, wakibainisha kuwa utapunguza changamoto ya maji na kuboresha afya na ustawi wa wanafunzi.
Na Mwandishi wetu, Tanga Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki kutoa huduma bora kwa wananchi watakaojitokeza katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotaraji kuanza Februari 13 hadi 19, 2025 katika mikoa ya Tanga na Pwani. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taiofa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele wakati alipotembelea mafunzo ya siku mbili ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki katika Halmashauri za Jiji la Tanga, Mji wa Korogwe pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe vijijini. “Ninawasihi muwahudumie…
