Author: Mbeya Yetu

CHUNYA YAFIKIWA NA MKONGA WA TAIFA WA MAWASILIANO Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi ametembelea Kituo cha mkonga wa Taifa cha mamlaka ya mji mdogo wa Makongolosi Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kilichojengwa kwa lengo la kuboresha mawasiliano na ili kuongeza ufanisi kwa watendaji wa serikali katika makusanyo ya Serikali. Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye miundombinu ya mawasilano kupitia ujenzi wa vituo mkongo wa taifa nchikavu na baharini, ambapo amesema kupitia uwekezaji huo Wilaya 139 nchini zitanufaika na huduma ya mkongo wa Taifa hivyo…

Read More

Naitwa Amida, msichana wa miaka 26, mkazi wa Tanga, Tanzania, nilikutana na huyu kijana ofisi yetu iliipa tenda ofisi yao, mimi ndio bosi pale ofisini, tulijenga urafiki na mwisho wa siku tukaishia kuwa wapenzi tuliopenda sana. Nakumbuka penzi lilienda vizuri hadi ikafika hatua tukakubaliana kutambulishana kwa wazazi, alinitambulisha kwa kaka yake ambae alidai ndio mlezi wake kwa sababu yeye ni yatima. Niliwaandaa familia yangu kuupokea ugeni, na kweli alikuja na jopo la watua, akatoa posa, na majibu ya posa yalirudishwa kuwa amepokelewa hivyo taratibu nyingine ziendelee. Sasa wakati tunasubiria walete mahari, yule kijana akaanza kuniomba vitu vingi akidai amekwama, nilimsaidia…

Read More