Author: Mbeya Yetu

Jina langu ni Wanjiku kutoka katika kauti ya Kisumu, nilikuwa mwanamitindo ambaye nilienda katika mashindano katika ukanda huu wa Afrika Mashariki kila mara. Sikutaka kuwa na kitu chochote ambacho kitanisumbua kwani hali ile ingefanya nisiweze kuwa maarufu. Nilikuwa nimeeda nchini Uganda na hapo nilishinda mataji, muda ulivyosonga, makovu yalianza kutokea kwenye uso wangu suala amabalo liliharibu urembo wangu kwa sana, wakati mwingi nilibaki kwenye chumba changu bila kutoa nje. Sikutaka yeyote kuniona, hali ile pia ilipelekea kushindwa kushiriki baadhi ya mashindano, kwa muda mrefu nilipoteza mengi kwani kwenye mashindano yale nilikuwa napata fedha nyingi tu. Suala lile lilikuwa linaniudhi sana,…

Read More

Baada ya kuhitimu chuo kikuu, nilituma maombi ya kazi zaidi ya 20 katika taasisi mbalimbali za serikali. Kila wakati nilijipa matumaini, nikiamini elimu yangu itaniondoa mitaani lakini jibu lilikuwa lile lile kimya au majibu ya kukataliwa. Wakati fulani nilihudhuria usaili na hata nikapata alama nzuri, lakini sikupewa nafasi. Badala yake, niliona watu ambao hata hawakuwa kwenye orodha ya waliofuzu wakichukuliwa. Nilianza kujihisi sina thamani, niliangalia marafiki zangu wakipata ajira, wengine kwa sababu ya “kuna mtu wao juu” au kwa sababu tu ya jina la familia. Mimi, kijana wa kawaida kutoka kijijini, nilionekana kama si wa daraja lao. Mama yangu aliwahi…

Read More

Majirani walidhani nina roho ya subira, lakini ukweli ni kwamba nilikuwa nimekufa ndani kwa ndani. Kwa miaka sita, nilibeba ndoa iliyojawa na fedheha, matusi, na kunyanyaswa. Mume wangu alikuwa mtu wa hasira za ghafla. Angeweza kurudi usiku wa manane, anuke pombe, na anichape kwa sababu tu nilikuwa nimelala mapema. Hakuna aliyejua machungu yangu, maana nilijificha nyuma ya tabasamu. Kila nikiomba ushauri kwa mama au dada zangu, walinambia “vumilia, ndoa ni uvumilivu.” Nilijaribu. Nilikaa kwa ajili ya watoto. Nilikaa kwa sababu sikuwa na kazi wala uwezo wa kujitegemea. Lakini kilichoniumiza zaidi ni kwamba hata nilipojaribu kuzungumza naye, hakuwa tayari kusikiliza. Alikuwa…

Read More

Baada ya kuhitimu chuo kikuu, nilituma maombi ya kazi zaidi ya 20 katika taasisi mbalimbali za serikali. Kila wakati nilijipa matumaini, nikiamini elimu yangu itaniondoa mitaani lakini jibu lilikuwa lile lile kimya au majibu ya kukataliwa. Nilijitahidi kumpenda kwa moyo wangu wote, nikamtunza hata kipindi hana kazi. Nilimwamini hata zaidi ya familia yangu. Lakini mambo yalibadilika ghafla. Jamal alianza kuwa distant. Alikuwa hapokei simu zangu haraka kama zamani. Mara nyingine alikuwa na mood mbaya sana, hata hakutaka kuzungumza. Nilivumilia, nikaamini labda ni stress za maisha. Hadi niliposikia kutoka kwa jirani kuwa amekuwa akionekana na mwanamke mmoja tajiri sana wa mjini.…

Read More

Ningekuambia nilivyochoka maisha, usingeamini. Mimi ni mama wa watoto wawili. Nilipoamua kuingia sokoni kuuza vitunguu, nyanya na mboga za majani, nilikuwa na matumaini makubwa. Niliamini bidii  yangu ingetosha. Niliamka kila siku saa kumi alfajiri, nikaenda Marikiti kununua bidhaa, nikarudi sokoni kabla hata kuku hawajawika. Niliweka bidhaa vizuri. Nilitabasamu kwa kila mteja. Nilihimili jua na mvua. Lakini bado, wateja walinipita kama siwapo. Wengine waliokuwa karibu yangu walikuwa wakinunuliwa kila saa. Wateja walikuwa wanapigana kwao hadi foleni inatokea. Mimi nilikuwa napiga darubini tu. Nilijua sina matatizo ya tabia, bidhaa zangu ni safi, lakini watu hawakunijali. Nilivumilia kwa mwaka mmoja. Mwaka wa pili…

Read More