Browsing: Video Mpya

Baadhi ya wadau na waandishi wa Habari wa mkoa wa Mbeya wamepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Husein Kandoro .wakielezea namna ambavyo alitoa ushirikiano mkubwa kwa waandishi katika kuwahudumia wananchi wa mkoa huo.