Makanisa mbalimbali nchini yamekutana Jijini Mbeya kwa lengo la kujadiliana namna ya kuimarisha mahusiano kati ya makanisa na Israel kupitia matukizi ya Teknolojia na utaalamu wa miradi mikubwa ya mazao.
Akitoa taarifa kwa wanahabari Mwangalizi Mkuu wa WAPO MISSION INTERNATINAL Profesa Sylvester Gamanywa amesema mradi umeona kuwashirikisha wafanyabiashara Wakristo kutoka Tanzanian katika biashara hizi, kawapa fursa za ubia zinazowiana na dhamira yetu ya kukuza uchumi na maendeleo endelevu.
Katika hatua nyingine Gamanywa amesema lengo ni kuunga mkono serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan sanjari na kutoa ajira kwa vijana nchini.
Kwa upande wake Askofu Profesa Rejoice Ndalima Mwenyekiti wa Chama cha Maprofesa na Madaktari wa Theolojia Tanzania amesema wamefanya utafiti na kubaini mradi huu uatakaokuwa Kilwa utakuwa na tija kutukana na uhakika wa upatikanaji wa pembejeo na soko la mazao watakayozalisha.

“Tunarajia kuwa na misimu miwili ya kilimo cha kisasa ambapo kutakuwa na uzalishaji mkubwa”amesema Ndalima.
Mwitikio wa Viongozi umekuwa makubwa sana na shauku kubwa ya kuanza kuwekeza kwa ununuzi wa hisa.