Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) akielekea katika kisiwa Cha Kojani kilichopo wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba kukagua hali ya upatikanaji wa mawasiliano katika kisiwa hicho leo Tarehe 21 Novemba 2024.
Aidha Mhe Ibrahim Juma afisa mzamini wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi amemweleza Mhe Mahundi kuwa Shehiya zinazohitaji kuongezewa uwezo wa masiliano katika Mkoa wa kaskaziniPemba ni Kojani kisiwani,Mchanga mdogo,Kuwuyu Minungwini,Kuwuyu Kibongoni pamoja na Shehiya ya Kanyikanyi