Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

ONYO KALI KWA VIBAKA KUTOKA KWA WAMACHINGA SOKO LA JIONI KABWE JIJI LA MBEYA VIBAKA NA WEZI WAUFYATA

July 6, 2025

MNEC: MWASELELA ASIMAMISHA MINONG’ONO YA KISIASA MBEYA MJINI

July 3, 2025

KWA MARA NYINGINE, MHANDISI MAHUNDI AWAPA NEEMA WAGONJWA WA MACHO

July 1, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • ONYO KALI KWA VIBAKA KUTOKA KWA WAMACHINGA SOKO LA JIONI KABWE JIJI LA MBEYA VIBAKA NA WEZI WAUFYATA
  • MNEC: MWASELELA ASIMAMISHA MINONG’ONO YA KISIASA MBEYA MJINI
  • KWA MARA NYINGINE, MHANDISI MAHUNDI AWAPA NEEMA WAGONJWA WA MACHO
  • MWAKIPESILE AREJESHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI
  • Msimu wa pili wa tamasha la michezo na vipaji MZRH
  • MKULIMA NA MFUGAJI WA MBARALI ATIA TIMU KIPUTE JIMBO LA MBARALI USANGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE
  • WAKILI MSOMI KAPTENI MSTAAFU SAMBWEE SHITAMBALA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI.
  • MWAISUMBE: ALIYEJITOSA UBUNGE 2010 AWANIA TENA MBEYA MJINI AAHIDI KUMUUNGA MKONO ATAKAYETEULIWA
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » POLISI YAWATAKA WANANCHI KUWATAJA WEZI WA MIFUGO ENDASAK.
Uncategorized

POLISI YAWATAKA WANANCHI KUWATAJA WEZI WA MIFUGO ENDASAK.

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 13, 2024Updated:March 13, 2024No Comments5 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jeshi la Polisi Kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo limewataka Wananchi wa Kata ya Endasak Wilaya Hanang Mkoa wa Manyara kuwataja watu wanaojihusisha na wizi wa Mifugo katika eneo hilo huku likiwataka kuwa mstari wa mbele kutoa Ushahidi pindi unapohitajika mahakamani. Hatua hiyo imekuja mara baada ya Kamanda wa kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo Nchini Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Simon Pasua wakati alipofika katika mnada wa Endasak uliopo katika Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara ambapo alisikiliza kero za wananchi ambao wanafanya biashara ya mifugo mnadani hapo juu ya kwepo kwa changamoto ya baadhi ya wafanyabiashara wasiowaaminifu. Kamanda Pasua amewambia wananchi wa kata ya Katesh kutoa ushirikiano pindi mhalifu anapokamatwa na kufikishwa mahakamani ikiwa ni Pamoja na kutoa Ushahidi ambapo amewaomba wananchi kuwataja wale wote wanaohusika na wale wanaojihusisha na wizi wa mifugo kateshi.

Na. Abel Paul, Jeshi la Polisi- Katesh Manyara.

Jeshi la Polisi Kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo limewataka Wananchi wa Kata ya Endasak Wilaya Hanang Mkoa wa Manyara kuwataja watu wanaojihusisha na wizi wa Mifugo katika eneo hilo huku likiwataka kuwa mstari wa mbele kutoa Ushahidi pindi unapohitajika mahakamani.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya Kamanda wa kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo Nchini Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Simon Pasua wakati alipofika katika mnada wa Endasak uliopo katika Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara ambapo alisikiliza kero za wananchi ambao wanafanya biashara ya mifugo mnadani hapo juu ya kwepo kwa changamoto ya baadhi ya wafanyabiashara wasiowaaminifu.

Kamanda Pasua amewambia wananchi wa kata ya Katesh kutoa ushirikiano pindi mhalifu anapokamatwa na kufikishwa mahakamani ikiwa ni Pamoja na kutoa Ushahidi ambapo amewaomba wananchi kuwataja wale wote wanaohusika na wale wanaojihusisha na wizi wa mifugo kateshi.

SACP Pasua amebainisha kuwa zipo haki za mlalamikaji na mtuhumiwa katika kesi za jinai ambapo amewaomba wananchi kutambua endapo watamuona mwananchi aliyetuhumiwa na kesi za wizi wa mifugo akiwa nje watambue amedhaminiwa kwa mujibu wa sheria, huku akitoamsisitizo kwa wananchi kutoa Ushahidi Mahakamani.

Nao baadhi wa Wananchi wanaofanya Biashara ya Mifugo katika mnada wa Endasak licha ya kutoa malalamiko yao kuwepo kwa baadhi ya wanafanya biashara wasio fuata taratibu mnadani hapo wameahidi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kutokomeza uhalifu mnadani hapo.

 

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

TUME YA UCHAGUZI YAPONGEZWA MAANDALIZI UCHAGUZI MKUU 2025

June 9, 2025

AFISA MTENDAJI MKUU WA AfD AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA BODI YA GPE MJINI PARIS LEO

June 4, 2025

Wizi wa Bima Wafumuliwa, Serikali Yapanga Mashambulizi

May 16, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024174

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202482

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202569

DKT. TULIA ATOA MSAADA WA VIPAZA SAUTI MSIKITI WA MASJID BI FATMA NZOVWE JIJINI MBEYA

March 29, 202460
Don't Miss
Video Mpya

ONYO KALI KWA VIBAKA KUTOKA KWA WAMACHINGA SOKO LA JIONI KABWE JIJI LA MBEYA VIBAKA NA WEZI WAUFYATA

By Mbeya YetuJuly 6, 20251

#mbeyayetutv

MNEC: MWASELELA ASIMAMISHA MINONG’ONO YA KISIASA MBEYA MJINI

July 3, 2025

KWA MARA NYINGINE, MHANDISI MAHUNDI AWAPA NEEMA WAGONJWA WA MACHO

July 1, 2025

MWAKIPESILE AREJESHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI

June 30, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

ONYO KALI KWA VIBAKA KUTOKA KWA WAMACHINGA SOKO LA JIONI KABWE JIJI LA MBEYA VIBAKA NA WEZI WAUFYATA

July 6, 2025

MNEC: MWASELELA ASIMAMISHA MINONG’ONO YA KISIASA MBEYA MJINI

July 3, 2025

KWA MARA NYINGINE, MHANDISI MAHUNDI AWAPA NEEMA WAGONJWA WA MACHO

July 1, 2025
Most Popular

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024174

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202482

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202569
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.