Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

DAS Mbeya: Kipato Kisiharibu Vyanzo vya Maji

February 10, 2026

KUMBUKUMBU YA EDWARD NGOYAI LOWASSA

February 10, 2026

Wilaya ya Mbeya Yapiga Marufuku Kilimo na Ukataji Miti Kwenye Vyanzo vya Maji

February 9, 2026
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • DAS Mbeya: Kipato Kisiharibu Vyanzo vya Maji
  • KUMBUKUMBU YA EDWARD NGOYAI LOWASSA
  • Wilaya ya Mbeya Yapiga Marufuku Kilimo na Ukataji Miti Kwenye Vyanzo vya Maji
  • Tazama muonekano mpya wa Soko la Kariakoo
  • TGNP na CARE Waimarisha Elimu ya Tabia Nchi Mbeya
  • New Asante Mbeya Yapongeza TAKUKURU Mbeya kwa Elimu ya Uadilifu na Kufungua Uelewa wa Wanachama
  • Utengule Usangu Yapata Jezi, Majiko ya Gesi na Msaada wa Kijamii Kutoka kwa Mbunge Ndingo
  • Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya na Aga Khan Zaanzisha Ushirikiano wa Kuboresha Huduma za Afya
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » “Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Maryprisca Mahundi atembelea Kituo cha Mkonga wa Taifa Makongolosi, Mbeya”
Habari za Kitaifa

“Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Maryprisca Mahundi atembelea Kituo cha Mkonga wa Taifa Makongolosi, Mbeya”

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJanuary 12, 2025Updated:January 12, 2025No Comments9 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

CHUNYA YAFIKIWA NA MKONGA WA TAIFA WA MAWASILIANO

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi ametembelea Kituo cha mkonga wa Taifa cha mamlaka ya mji mdogo wa Makongolosi Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kilichojengwa kwa lengo la kuboresha mawasiliano na ili kuongeza ufanisi kwa watendaji wa serikali katika makusanyo ya Serikali.

Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye miundombinu ya mawasilano kupitia ujenzi wa vituo mkongo wa taifa nchikavu na baharini, ambapo amesema kupitia uwekezaji huo Wilaya 139 nchini zitanufaika na huduma ya mkongo wa Taifa hivyo kurahisisha utendaji wa Serikali.

Meneja wa TTCL Mkoa wa Mbeya na Songwe Mhandisi Mujuni Kyaruzi amesema mkongo huo utaunganisha mkoa wa Mbeya na mkoa wa Songwe kupitia Wilaya ya Songwe ambapo unatarajiwa kuanza kutumika mwezi Aprili mwaka huu baada ya kukamilika ufungaji wa waya eneo la kilomota 10 lililobaki.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mbaraka Alhaj Batenga amesema wananchi wachangamkie fursa hiyo ya ujiio wa mkongo wa Taifa kwani kwa sasa kumekuwa na changamoto ya ukusanyaji wa maduhuri ya Serikali kutokana na changamoto ya mawasiliano maeneo mengi ya Wilaya hiyo, huku akiwataka wananchi kuilinda miundombinu hiyo ili Taifa liendelee kukua kiuchumi.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

KUMBUKUMBU YA EDWARD NGOYAI LOWASSA

February 10, 2026

JK KWA MFALME MSWATI III KUJADILI UPATIKANAJI WA FEDHA ZA MIRADI YA AFYA KWA NCHI WANACHAMA WA ECSA

February 4, 2026

TGNP na CARE Watoa Mafunzo ya Mabadiliko ya Tabia Nchi kwa Jamii Mbeya

January 31, 2026

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025337

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025252

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024227

Vijana Wamchana Waziri wa Vijana, ”Si Wananchi, Ila Watumishi Ndio Watakaoniangusha”

December 1, 2025139
Don't Miss
Video Mpya

DAS Mbeya: Kipato Kisiharibu Vyanzo vya Maji

By Mbeya YetuFebruary 10, 20261

Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbeya, Bw. Azizi Faki, ametoa onyo kali juu ya kuendelea kwa uharibifu wa vyanzo vya maji wilayani humo, akisema hali halisi ya uchafuzi na upungufu wa maji inaonekana wazi kutokana na shughuli za kibinadamu zisizozingatia sheria.

Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa chanzo cha maji cha Mtombalizi, kilichopo katika Kata za Utengule Usongwe na Nsalala, Bw. Faki alisema uchimbaji wa mchanga na mawe katikati ya mto pamoja na uharibifu wa kingo za maji umepelekea mto huo kupoteza mwelekeo wake wa asili, maji kuchafuka na kupungua kwa kiasi kikubwa.

Bw. Faki alisema licha ya kuwepo kwa maelekezo ya awali ya kulinda kingo za mito, kupanda miti na kuacha mita sitini kutoka kwenye chanzo cha maji bila shughuli za kibinadamu, hali bado ni mbaya kutokana na kuendelea kwa shughuli haramu, hali inayohatarisha vyanzo vya maji vinavyotegemewa na wananchi wa sasa na vizazi vijavyo.

Alitoa wito kwa taasisi zote husika ikiwemo TFS, mamlaka za maji, mamlaka ya madini, Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Rukwa, pamoja na viongozi wa serikali za mitaa, kata na tarafa kushirikiana kikamilifu katika kulinda chanzo hicho. Alisisitiza kuwa jitihada za kutafuta kipato haziwezi kuwa sababu ya kuvunja sheria na kuharibu mazingira.

KUMBUKUMBU YA EDWARD NGOYAI LOWASSA

February 10, 2026

Wilaya ya Mbeya Yapiga Marufuku Kilimo na Ukataji Miti Kwenye Vyanzo vya Maji

February 9, 2026

Tazama muonekano mpya wa Soko la Kariakoo

February 8, 2026
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

DAS Mbeya: Kipato Kisiharibu Vyanzo vya Maji

February 10, 2026

KUMBUKUMBU YA EDWARD NGOYAI LOWASSA

February 10, 2026

Wilaya ya Mbeya Yapiga Marufuku Kilimo na Ukataji Miti Kwenye Vyanzo vya Maji

February 9, 2026
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025337

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025252

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024227
© 2026 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.