Wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wameadhimisha siku ya kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kukata keki kama ishara ya mshikamano na pongezi. Maadhimisho hayo yaliongozwa na Diwani wa Kata ya Nsalala, Mhe. Festo Mbilike, aliyempongeza Rais Samia kwa kuwaamini na kuwawezesha vijana kupitia fursa za ajira na mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri. Sherehe hizo zilifanyika Mji Mdogo wa Mbalizi, zikianza na maandamano ya amani ya vijana na bodaboda.
Trending
- WAZEE WASHIRIKIANA NA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII ZOEZI LA UPANDAJI MITI DODOMA.
- Wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Waadhimisha Kuzaliwa Rais Samia kwa Mshikamano
- MADAKTARI BINGWA WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MKOANI MANYARA
- Serikali Yakabidhi Vifaa vya Kujifunzia kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Nsalala
- Nilipata Miscarriage Mara Tano Hadi Nikapoteza Ndoto Zangu Za Kuwa Mama Mpaka Nilipopata Usaidizi Usio na Madhara
- Nilifanya Kazi Kwa Miaka Miwili Bila Kupata Promotion Ila Nilijitafutia Hiyo Promotion Mwenyewe
- Ndoa Yangu Ilikuwa Karibu Kuvunjika Lakini Siri Hii ya Mwisho Iliokoa Mapenzi Yetu
- Walidhani Ni Bahati Tu Lakini Ukweli Uliofichuka Ulishangaza Kila Mtu

