Angalia maajabu ya Mlemavu huyu wa macho mkazi wa Lwangwa Busokelo wilayani Rungwe mkoani Mbeya, alipofuka macho akiwa na umri wa miaka 9, anamudu kufanya shughuli mbalimbali za ufundi anaweza kutengeneza baiskeli, pikipiki na hata kuuza duka anatambua na kuwarudishia chenji wateja wake bila kukosea na anatoa huduma kwa bidhaa ulizoagiza.
Trending
- WANANCHI HAI, FUONI , KATA TANO KUPIGA KURA KUCHAGUA WABUNGE NA MADIWANI KESHO
- Mume Wangu Alikuwa Akipoteza Udhibiti Usiku na Kukojoa Kitandani Hatua Moja Ilinirejesha Amani Nyumbani
- Dadangu Aliokota Mchanga Wa Nyayo Zangu Baada Ya Kuenda Kijijini Na Gari Mpya Lakini Maelezo Maalum Yaliniokoa Katika Hofu
- Mhe. Mahundi: Wazee ni Tunu ya Taifa, Wastahili Kulindwa na Kuheshimiwa
- NDELE MWASELELA AWATAKA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA MAADILI, KUANDIKA HABARI ZA MAENDELEO NA KUWASEMEA WANANCHI
- Sikuweza Kulala Usiku Juu Ya Ndoto Mbaya Lakini Sasa Nalala Kama Mtoto Baada Ya Kupata Suluhisho
- Nilihisi Kuna Kitu Kinazuia Maendeleo Yangu—Baada ya Kufunguliwa, Mambo Yalisonga
- Baada ya miaka minane ya chuki familia yetu ilipata amani ndani ya siku nne tu

