Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
- Viongozi 11 wa CHADEMA washikiliwa na Polisi Mkoa wa Songwe
- ZIARA YA NAIBU WAZIRI MAHUNDI ZANZIBAR
- Jinsi ya Kufikisha Malalamiko Kuhusu Mradi wa REGROW na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha
- Naibu Waziri Mhandisi Maryprisca Mahundi Akagua Hali ya Mawasiliano Kisiwani Kojani, Pemba
- Inauma sana: Mtoto wangu kaenda chuo kikukuu katumbukia katika umalaya na dawa za kulevya
- WALIOKUWA WANAENDA KUMZIKA NEEMA ALIYEFIA KARIAKOO WAPATA AJALI, MMOJA AJARIKI
- Mbunge Jimbo la Busokelo Mh Mwakibete Serikali ya chama cha Mapinduzi imeitendea haki mkoa wa Mbeya
- Mbunge wa Kyela Ally Jumbe Kinanasi Awakumbusha wana Mbeya
Author: Mbeya Yetu
Jina langu ni Brenda kutokea Mbeya nchini Tannzania, mimi ni binti wa miaka 24, niliingia katika mahusiano na kijana mmoja, nikampa kila kitu nilichoweza kwa wakati huo. Nakumbuka kipindi kile nyumbani tulikuwa tuna ng’ombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea nyumbani kwao, nilimpend sana, penzi letu likawa huru alipoanza maisha yake mwenyewe. Sikuwa najua lolote kuhusu mapenzi, alinifundisha yeye, nikatengeneza maisha yangu yote kwake, akanifanya nikawa mtumwa wa ngono kila nikienda ghetto kwake. Kama haikutosha sasa akaanza kunifundisha kunywa pombe, niliamini kuwa ndiye mume wangu mtarajiwa, kwa nini nikatae. Nilimkubalia kila kitu. Alinilazimisha ngono hata nilipokuwa katika siku zangu, kweli…
Na Mwandishi wetu Dar. Mwenyekiti Mstaafu wa Serikali ya Mtaa wa Sangara Kata ya Msongola wilaya ya Ilala jijini Dar esSalaam Pili Charles Ndimaye amejiunga na Chama Cha ACT Wazalendo baada ya kumaliza muda wake wa uongozi Oktoba 19 Mwaka huu. Taarifa ya viongozi wa ACT Wazalendo Jimbo la Ukonga iliyotolewa leo (Oktoba 22, 2024), imeeleza kuwa Ndimaye amejiunga na Chama hicho Oktoba 19, 2024 ikiwa ni muda mchache baada ya kumaliza taratibu za kukabidhi Ofisi ya Mtaa kama ilivyoelekezwa na Waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa. Akizungumza Kwa njia ya simu na Mwandishi wa Habari hizi, Mwenyekiti wa ngome ya…
Maji ya ziwa Rukwa ni rasilimali muhimu kwa maisha ya wananchi wa mikoa kadhaa ya Nyanda za Juu Kusini kwa ajili ya matumiziya binadamu na uzalishaji wa mali
katika makala haya tunangazia juhudi zinazochukuliwa na mko wa Katavi ktika kulinda ikolojia ya ziwa hilo.
Vikundi vya Ulinzi Shirikishi Kata ya Ngara Mjini Wilaya Ngara Mkoa wa Kagera vimetakiwa kuzingatia Sheria kipindi cha utekelezaji wa majukumu yao huku akiwataka kuwa mfano mzuri Kwa jamii. Hayo yamebainishwa na Mkaguzi Kata ya Ngara Mjini Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Olipa Chitongo wakati akitoa elimu Kwa vikundi hivyo ambapo amewataka kufuata sheria za mwenendo wa Makosa ya Jinai akiwakumbusha kifungu cha 21 kifungu kidogo cha kwanza cha ukamataji salama. Mkaguzi Olipa amewataka kutambua kuwa vikundi vya ulinzi Shirikishi ni Miongoni mwa Wadau wa karibu wa Jeshi la Polisi katika masuala ya Ulinzi ambapo amewasisitiza kufanya kazi Kwa weledi…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amelishukuru Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kwa kuunga mkono juhudi za Serikali ya Tanzania za kuendeleza uhifadhi kwa kupambana na ujangili na biashara haramu ya nyara pamoja na kuimarisha ustahimilivu wa Bioanuai ya Misitu ya Mazingira Asilia Tanzania dhidi ya athari za mabadiliko ya Tabianchi. Ameyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi, wa UNDP, Bw. Shigeki Komatsubara leo Oktoba 22,2024 jijini Dodoma. “Shirika la UNDP limeendelea kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii katika utekelezaji wa Mradi wa Kupambana na Ujangili na…
Jina langu ni Sauda kutokea Moshi Tanzania, nimeishi katika ndoa zaidi ya miaka saba sasa na mume wangu, Jose katika miaka mitano ya mwanzo katika ndoa yetu hatukujaliwa kupata mtoto jambo lilonipa wakati mgumu sana msongo wa mawazo. Kila wakati nilikuwa namwambia mume wangu na watu wa karibu kwamba ningefurahi iwapo siku moja nitajaliwa kupata watoto mapacha. Wengi walinieleza kuwa ni vigumu ikiwa kwenye familia yenu hakuna mtu aliyewahi kujaliwa mapacha lakini nikajipa moyo ipo siku nitapata tu. Baada ya miaka miwili ya ndoa tulienda Hospitali mbalimbali na mume wangu kutaka usaidizi ili kuweza kupata mtoto kwani tuliona muda unazidi…