Author: Mbeya Yetu

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 26 Julai, 2024 amemkabidhi nyumba ya kuishi Mzee Ambalile Mwala ambaye amekuwa akiishi katika mazingira magumu pamoja na familia yake katika Kata ya Ching’anda Mlimba Mkoani Morogoro. Nyumba hiyo imejengwa na taasisi ya Tulia Trust.

Pamoja na hayo, Dkt. Tulia ametoa msaada wa madaftari, kiti mwendo kwa wahitaji na malumalu kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Kata ya Ching’anda Halmashauri ya Mlimba Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro.

Read More

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani akimkabidhi kadi ya Mpiga Kura, Bi. Hanifa Chija mkazi wa Mtaa wa Boma Kata ya Kimobwa, Wilayani Kasulu mkoani Kigoma baada ya kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura katika kituo cha Ofisi ya Mkuu wa Wilaya tarehe 21 Julai, 2024. Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora limeanza Julai 20 na litafikia ukomo Julai 26 mwaka huu. ****** Zoezi la Uboreshaji la Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora…

Read More

Mkurugenzi Mkuu wa TASAC Mohamed Salum alieleza kuhusiana na mipango ya mkakati katika Bandari ya Nyamisati katika kutoa huduma za Usafiri kwa Vyombo Vidogo vya Majini. Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC Nahodha Mussa Mandia akizungumza katika Bandari ya Nyamisati wakati Bodi hiyo ilipofanya ziara Bandari hapo. Meneja wa Bandari ya Nyamisati Issa Unemba akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na utendaji wa Bandari hiyo pamoja na maboresho yaliyofanyika wakati Bodi ya TASAC ilipotembelea Bandari ya Nyamisati wilayani Kibiti mkoani Pwani. *Mkurugenzi Mkuu TASAC asema zaidi ya Bilioni Mbili kununua boti za Uokozi Na Mwandishi Wetu ,Kibiti Bodi ya Shirika…

Read More