Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
- DKT TULIA ACKSON ASHIRIKI IBADA BAPTIST ISYESYE MADHABAHU YA REHEMA NA SAUTI YA UPONYAJI
- CHADEMA CHUNYA YALIA NA UKOSEFU WA MAGARI POLISI, WAGOMBEA WAFUNGUA KAMPENI
- KUMEKUCHA KAMPENI ZA CCM MBEYA VIJIJINI, MBUNGE NJEZA ASEMA DKT SAMIA KASAFISHA NJIA
- EZEKIA ZAMBI MWENYEKIT ACT WAZALENDO
- CHADEMA LUPA YATUMA SALAMU ZA KUIONDOA CCM IKIZINDUA KAMPENI, KERO ZAAINISHWA
- Huyu mwanamke anadai mimba yangu haionekani tumboni kwake!
- Fedha zangu zote za kustaafu zilikuwa zinateketea hadi nilipoamua kufanya hivi
- POLISI NA WANAHABARI MBEYA WAWEKA MIPANGO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Author: Mbeya Yetu
Mwenyekiti wa Wanawake Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya Aminael Julias ameongoza wanawake wenzie kutoa faraja Kambi shule ya msingi Tambuka reli Kata ya Itezi Jijini Mbeya kwa waathirika wa maporomoko mlima Kawetere yalitokea aprili 14,2024.
Aminael amesema wao kama Wanawake wameguswa na tukio hilo zito hivyo wamekabidhi nguo za kike,taulo za kike,pampas,vyakula na mipira kwa ajili ya kuchezea watoto.
Mwakilishi kutoka ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha maafa amewashukuru Wanawake hao kwa namna walivyoguswa kutoa msaada kwani serikali peke yake isingeweza kukabiliana na tatizo hilo hasa ikizingatiwa baadhi ya waathirika hawakuweza kuokoa chochote katika nyumba zao.
Mwenyekiti wa Wanawake Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya Aminael Julias ameongoza wanawake wenzie kutoa faraja Kambi shule ya msingi Tambuka reli Kata ya Itezi Jijini Mbeya kwa waathirika wa maporomoko mlima Kawetere yalitokea aprili 14,2024.Aminael amesema wao kama Wanawake wameguswa na tukio hilo zito hivyo wamekabidhi nguo za kike,taulo za kike,pampas,vyakula na mipira kwa ajili ya kuchezea watoto. Mwakilishi kutoka ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha maafa amewashukuru Wanawake hao kwa namna walivyoguswa kutoa msaada kwani serikali peke yake isingeweza kukabiliana na tatizo hilo hasa ikizingatiwa baadhi ya waathirika hawakuweza kuokoa chochote katika nyumba zao. Ziara…
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya CPA Gilbert Kayange amesema Mamlaka yake ina dhamana ya kutoa huduma ya maji Safi na Usafi wa Mazingira kwa wananchi wanaoshi Jiji la Mbeya na Mji wa Mbalizi., Katika kutoa huduma za maji safi na usafi wa mazingira mamlaka inazingatia malengo yake na Taifa mwaka 2020 kuwa ifikapo mwaka 2025 kupitia ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)kuhakikisha huduma za maji zinapatikana kwa asilimia 95. Ameyasema hayo baada ya kutembelea maendeleo ya ujenzi wa tanki mradi mkubwa wa kimkakati Kiwira linalojengwa Forest mpya Jijini Mbeya. CPA Kayange amefurafishwa na…
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya CPA Gilbert Kayange amesema Mamlaka yake ina dhamana ya kutoa huduma ya maji Safi na Usafi wa Mazingira kwa wananchi wanaoshi Jiji la Mbeya na Mji wa Mbalizi.
Katika kutoa huduma za maji safi na usafi wa mazingira mamlaka inazingatia malengo yake na Taifa mwaka 2020 kuwa ifikapo mwaka 2025 kupitia ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)kuhakikisha huduma za maji zinapatikana kwa asilimia 95.
Ameyasema hayo baada ya kutembelea maendeleo ya ujenzi wa tanki mradi mkubwa wa kimkakati Kiwira linalojengwa Forest mpya Jijini Mbeya.
CPA Kayange amefurafishwa na maendeleo ya ujenzi wa mradi huo unaotarajiwa kukamilika mwezi machi 31,2025 uwe umekamilika.
Aidha ametaka ushirikiano baina ya Mamlaka, Mhandisi Mshauri na Mkandarasi kuhakikisha kazi inafanyika Kwa Kasi na ubora unaotakiwa.
Kwa upande wake Mhandisi Barnabas Konga msimamizi wa mradi huo amesema usanifu wa mradi umekamilika ambapo utatakelezwa kwa kipindi cha miaka miwili na kwamba mradi utakamilika kwa wakati na ubora unaotakiwa.
Naye Mhandisi Colman Ngainayo Mshauri katika mradi huo amesema vifaa vingi vimesogezwa eneo la mradi na kazi itakwenda kwa kasi kama ilivyokusudiwa.
Naye Mhandisi msaidizi Hendrick Munuo Mkandarasi anayetekeleza mradi huo amesema kwa sasa mradi unatekelezwa kwenye banio,tanki la kusafishia maji na tanki lenye uwezo wa kupokea lita milioni tano za maji lililopo Forest mpya Jijini Mbeya ambapo kazi zote hizo zinakwenda vizuri.
Kukamilika kwa mradi wa maji Kiwira mbali ya Mamlaka kuongeza mapato utamaliza kabisa changamoto ya maji Jijini Mbeya na Wilaya jirani.
#mbeyayetutv
MARY’S WAFANYA MAOMBI KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU
Siku chache baada ya maporomoko ya mlima Kawetere kuathiri wakazi wa kata ya Itezi Jijini Mbeya,Uongozi wa shule ya msingi Mary’s Pre &Primary School umefanya maombi mazito kumshukuru Mwenyezi Mungu kutokana na shule hiyo kunusurika katika maporomoko hayo.
Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya ( MBEYAUWSA) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Bi Edina Mwaigomole imetembelea Kambi ya waathirika wa maporomoko mlima Kawetere iliyopo shule ya msingi Tambuka reli Kata ya Itezi Jijini Mbeya na kutoa msaada wa vyakula kwa lengo la kuwatia moyo.Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya CPA Gilbert Kayange amesema amesema ujio wao ni ishara ya upendo na kuwatia moyo waathirika wa tukio hilo huku akiwapongeza Viongozi mbalimbali ambao wamelichukua suala hilo kwa uzito mkubwa.CPA Gilbert Kayange amesema vyakula vilivyotolewa ni pamoja na kilo mia nne…
#mbeyayetutv
Marys Pre & Primary School Mbeya Yawafariji Waathirika Maporomoko ya Mlima Kawetere,wakabidhi msaada mafuta ya kula
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji raia wa China wakidhani amekufa na Korona.
Waziri Silaa amaeagiza kutafutwa mtu mwingine mmoja anayefahamika kwa jina la Nida ili aweze kueleza jinsi alivyozibeba milioni 80 ambazo ni pesa za mauzo ya nyumba ya Li Shi Cai.