Author: Mbeya Yetu

#MbeyaYetuTv
Historia ya mji wa Tunduru kati ya miaka ya 70 hadi 80 ilikuwa inatishia kuwepo kwa Simba Wala Watu,Simba alitumwa na mtu aliyemkodi kwa Mzee mmoja mganga wa jadi na kumsaka mtu yule yule aliyelengwa.

-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: “EXCLUSIVE: GADNA NA MWANAE: Nataka mwanangu awe na ShugaDaddy/Siamini mahusiano ”
https://www.youtube.com/watch?v=0IbU8Yve4S4
-~-~~-~~~-~~-~-

Read More

#MbeyaYetuTv
Sakata la watuhumiwa wa mauaji ya Tenson Ndege Meta mkazi wa Makongolosi Chunya bado lipo katika sura yenye utata huku watoto wa marehemu na mkewe wakisisitiza kutotendewa haki na kudai kuwa Tenson Ndege aliuawa.
Wakazi wa Kijiji cha Kitete alikokuwa akiishi marehemu Tenson Ndege Meta nao wapaaza sauti zao….tufuatilie hapa hapa #mbeyayetuonlinetv

-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: “EXCLUSIVE: GADNA NA MWANAE: Nataka mwanangu awe na ShugaDaddy/Siamini mahusiano ”
https://www.youtube.com/watch?v=0IbU8Yve4S4
-~-~~-~~~-~~-~-

Read More