Author: Mbeya Yetu

Usiku wa siku ya Wapendanao (VALENTINE DAY)Jijini Mbeya umekuwa ni wa Kipekee baada ya wapendanao wawili mume na mke mwenye ulemavu kugusa hisia za wapendanao waliohudhuria,
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Dkt Tulia Ackson aliyewaalika wapendanao hao Salome na Timotheo na baadaye kuchangiwa fedha zilizotosha kuanza ujenzi wa nyumba yao ya kuishi…TEMBELEA Mbeya Yetu Online TV kwa habari zaidi

Read More