Katika kuimarisha mfumo wa ugawaji wa rasilimali watu Mamlaka ya Serikali za Mitaa iliyopo chini ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI imeandaa mafunzo maalumu kwa watendaji ili kuwarahisishia utendaji watumishi waliopo katika sekta za Afya.

