Ni kama mchezo wa kuigiza vile, kwa siku moja ndani ya masaa machache baada ya uongozi wa CHADEMA jijini Mbeya kutangaza nia ya kuwasimamisha uanachama Madiwani wake watatu, Madiwani wawili wa kata ya Sisimba na kata ya Nsalaga wamejianika hadharani na kutangaza kujiuzulu na kukihama chama hichoooo
