Usiku wa siku ya Wapendanao (VALENTINE DAY)Jijini Mbeya umekuwa ni wa Kipekee baada ya wapendanao wawili mume na mke mwenye ulemavu kugusa hisia za wapendanao waliohudhuria,
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Dkt Tulia Ackson aliyewaalika wapendanao hao Salome na Timotheo na baadaye kuchangiwa fedha zilizotosha kuanza ujenzi wa nyumba yao ya kuishi…TEMBELEA Mbeya Yetu Online TV kwa habari zaidi
Trending
- Nilivyopata Nafuu Baada ya Kuugua Tumbo Kila Siku Bila Kujua Chanzo
- Nilivyolipa Madeni Yote na Kuanzisha Biashara Mpya Bila Kukopa Popote
- Nilivyofanikiwa Kumaliza Migogoro Kati ya Watoto Wangu na Kurudisha Upendo Nyumbani
- Nilivyopata Kazi Ndoto Zangu Baada ya Kuacha Kusema “Sina Bahati” Kila Wakati
- VIONGOZI WA BARAZA KUU LA WAISLAMU BAKWATA MKOA WA MBEYA WATEMBELEA MRADI WA UJENZI SHULE YA SEKONDARI YA KIISLAMU JIJINI MBEYA.
- Nilivyoshinda Bet Kubwa ya Ligi Kuu Uingereza
- Nilivyolazimika Kuacha Kazi Nzuri Ili Kuhifadhi Ndoa Yangu Isivunjike
- TUME YATANGAZA WABUNGE 115 WA VITI MAALUM
