#MbeyaYetuTv
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu ameachana na ukapera na kuamua kufunga pingu ya Maisha na Mchumba wake Happiness Msonga.Ibada ya Ndoa ya Sugu imefanyika katika Kanisa Katoliki la Ruanda Jijini Mbeya.Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho Freeman Mbowe,wabunge Joseph Selasini, Wilfred Lwakatare na MwanaHip Hop mwenzie Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu Profesa Jay waliungana naye katika sherehe hiyo.
Trending
- WATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUSOMA KATIBA, SHERIA, KANUNI ZA TUME
- Wanablogu 200 wa TBN Kunufaika na Mafunzo ya Uzalendo na Weledi
- DED MCHAU ATOBOA SIRI YA MAFANIKIO UFAULU KIDATO CHA SITA HALMASHAURI WILAYA YA RUNGWE
- ANAYEFANYA KAZI BILA ‘PRESS CARD’ ANAVUNJA SHERIA
- Dkt. Mpango: Ni Wakati wa Wanahabari Waafrika Kuandika Habari Chanya Kuhusu Afrika
- WATENDAJI UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 WAFUNDWA
- WALIMU 900 SEKONDARI MIKOA SABA WAPEWA DOZI KUFUNDISHA TEHAMA, RC MALISA AFUNGUA MAFUNZO SIKU TANO
- SIRI YA UTAJIRI WA MWALUNENGE HII HAPA AWEKA BAYANA HAJATUMIA UGANGA WA MIUJIZA