#MbeyaYetuTv
Mfanyabiashara mkubwa wa Madini aina ya dhahabu wilayani Chunya mkoani Mbeya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya pamoja na wafanyabiashara wenzie wanne wakikabiliwa na kosa la uhujumu wa Uchumi, Kutakatisha fedha, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kupatikana na Madini aina ya Dhahabu kinyume cha sheria,.
Trending
- Ni mara ya kwanza kupata mkataba mnono wa ujenzi
- Ndipo siku hiyo akashinda Sh17 milioni ya Jackpot
- MAHUNDI ATIMIZA AHADI YA VIFAA VYA UJENZI WA OFISI YA TAWI LA SIMBA
- MBOGA IMEIVA! Wadau Wapiga Jeki Mbao 300+ Kwa Nyumba ya Katibu wa Wazazi
- PATARI SHIDA PATARI AWAASA MADIWANI: “TUJENGE MBEYA VIJIJINI KWA PAMOJA”
- KAULI MPYA KUTOKA CCM KYELA,FEDHA ZIMETOKA AU ZIMEUNGUA ,UCHUNGUZI UNAENDELEA.
- KATIBU MKUU KIONGOZI ZENA AHMED AFUNGUA MKUTANO WA WAJIOLOJIA MBEYA
- MBEYA UWSA YAZINDUA GARI JIPYA LA UTOAJI WA HUDUMA YA KUONDOSHA MAJITAKA
