#MbeyaYetuTv
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert John Chalamila ametoa masaa 7 na kuwataka wadaiwa Sugu wa Ranchi ya Taifa ya NARCO iliyopo Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya kulipa madeni yao zaidi ya Shilingi Bil.1.7.
Chalamila amesema Wadaiwa hao Sugu akiwemo aliyekuwa Waziri wa Fedha Basil Mramba,aliyekuwa Mbunge wa Mbarali Esterina Kilasi na baadhi ya Wafanyabiashara wanatakiwa kulipa fedha hizo ndani ya saa 7 ambapo pia amesema mara baada ya tamko hilo, mifugo ya wafanyabiashara hao itakuwa chini ya mikono ya serikali hadi hapo watakapolipa deni hilo.
Trending
- MWAKIPESILE AREJESHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI
- Msimu wa pili wa tamasha la michezo na vipaji MZRH
- MKULIMA NA MFUGAJI WA MBARALI ATIA TIMU KIPUTE JIMBO LA MBARALI USANGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE
- WAKILI MSOMI KAPTENI MSTAAFU SAMBWEE SHITAMBALA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI.
- MWAISUMBE: ALIYEJITOSA UBUNGE 2010 AWANIA TENA MBEYA MJINI AAHIDI KUMUUNGA MKONO ATAKAYETEULIWA
- MHASIBU SUA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA SAME MASHARIKI
- MWANAHABARI MKONGWE CHARLES MWAKIPESILE AJITOSA UBUNGE MBEYA MJINI
- ALIYESAMBARATISHA UPINZANI JIMBO LA MBEYA MJINI AWANIA UBUNGE MBEYA MJINI, NI AFREY NSOMBA