Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

“Kasi Yaongezeka! CCM Mbeya Yajaza Nafasi Mbili Kamati ya Siasa mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu”

June 12, 2025

TARURA YAPATA TUZO USHIRIKISHAJI JAMII KATIKA UJENZI WA BARABARA

June 10, 2025

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WASTAAFU WA UMMA PSSSF WATOA DOZI KWA WANAHABARI MBEYA

June 9, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • “Kasi Yaongezeka! CCM Mbeya Yajaza Nafasi Mbili Kamati ya Siasa mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu”
  • TARURA YAPATA TUZO USHIRIKISHAJI JAMII KATIKA UJENZI WA BARABARA
  • MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WASTAAFU WA UMMA PSSSF WATOA DOZI KWA WANAHABARI MBEYA
  • MFUKO WA HIFADHI YA JAMII PSSSF YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI MKOA WA MBEYA.
  • TUME YA UCHAGUZI YAPONGEZWA MAANDALIZI UCHAGUZI MKUU 2025
  • TULIA TRUST UYOLE CUP 2025 YAZINDULIWA MBEYA.
  • MASHUHUDA AJALI ILIOUA 28 MBEYA WATOA NENO
  • MH. MAHUNDI: SERIKALI YABORESHA MAWASILIANO KATA YA MKWAMBA RUKWA KUPITIA MIRADI YA UCSAF
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » AJALI YA GARI KUGONGA MAGARI MATATU VIFO VYAFIKIA 19 RPC MBEYA ATOA NENO
Video Mpya

AJALI YA GARI KUGONGA MAGARI MATATU VIFO VYAFIKIA 19 RPC MBEYA ATOA NENO

adminBy adminAugust 16, 2022No Comments0 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

AJALI YA GARI KUGONGA MAGARI MATATU NA KUSABABISHA VIFO NA MAJERUHI.Ni kwamba mnamo tarehe 16.08.2022 majira ya saa 02:00 asubuhi huko maeneo ya Inyala Pipeline, Kijiji cha Shamwengo, Kata ya Inyala, Tarafa ya Tembela, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mkoa wa Mbeya katika barabara ya Mbeya – Njombe, Gari lori lenye namba za usajili T.387 DFJ lenye tela namba T.918 DFE aina ya Dayun likiendeshwa na Dereva MUHSIN GUMBO, Mkazi wa Dar es Salaam mali ya kampuni ya Evarest Frech Ltd likiwa na kontena la mchanga likitokea Mbeya liligonga kwa nyuma Gari T.966 DUQ aina ya Fuso basi mali ya kampuni ya Super Rojas likitokea Mbeya kuelekea Njombe likiendeshwa na ALEX MGIMBA [51] Mkazi wa Jijini Mbeya na kisha kugonga Gari T.836 DRE Mitsubish Benz iliyokuwa ikiendeshwa na NEDIM PREMJI, Mkazi wa Dar es Salaam na kisha kugonga Gari linguine T.342 CHG/T.989 CGS Scania iliyokuwa ikiendeshwa na dereva asiyefahamika na kusababisha vifo vya watu 19 kati yao wanaume ni 12, wanawake 06 na mtoto 01. Aidha katika ajali hiyo majeruhi ni 10 kati yao wanaume ni 07, wanawake ni 02 na mtoto 01.Chanzo cha ajali ni Gari kufeli breki kwenye eneo lenye mteremko mkali na kisha kugonga magari mengine. Miili ya marehemu imehifadhiwa Hospitali ya Rufaa Mbeya na Hospitali ya Igawilo. Imetolewa na:Ulrich Matei – SACPKamanda wa Polisi,Mkoa wa Mbeya.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
admin
  • Website

Related Posts

“Kasi Yaongezeka! CCM Mbeya Yajaza Nafasi Mbili Kamati ya Siasa mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu”

June 12, 2025

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WASTAAFU WA UMMA PSSSF WATOA DOZI KWA WANAHABARI MBEYA

June 9, 2025

TULIA TRUST UYOLE CUP 2025 YAZINDULIWA MBEYA.

June 9, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024171

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202482

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202566

DKT. TULIA ATOA MSAADA WA VIPAZA SAUTI MSIKITI WA MASJID BI FATMA NZOVWE JIJINI MBEYA

March 29, 202457
Don't Miss
Video Mpya

“Kasi Yaongezeka! CCM Mbeya Yajaza Nafasi Mbili Kamati ya Siasa mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu”

By Mbeya YetuJune 12, 20250

TARURA YAPATA TUZO USHIRIKISHAJI JAMII KATIKA UJENZI WA BARABARA

June 10, 2025

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WASTAAFU WA UMMA PSSSF WATOA DOZI KWA WANAHABARI MBEYA

June 9, 2025

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII PSSSF YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI MKOA WA MBEYA.

June 9, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

“Kasi Yaongezeka! CCM Mbeya Yajaza Nafasi Mbili Kamati ya Siasa mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu”

June 12, 2025

TARURA YAPATA TUZO USHIRIKISHAJI JAMII KATIKA UJENZI WA BARABARA

June 10, 2025

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WASTAAFU WA UMMA PSSSF WATOA DOZI KWA WANAHABARI MBEYA

June 9, 2025
Most Popular

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024171

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202482

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202566
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.