Mgogoro umeibuka baina ya Lucas Mbwiga na Aidan Msigwa Wawekezaji wawili wa machimbo ya dhahabu katika Kijiji cha Ifumbo Kata ya Ifumbo Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya ambapo kila mmoja anadai kulimiliki kihalali eneo la Kisumain lililokuwa na leseni ya uchimbaji wa madini kwa jina la Daud Mwantavila ambalo linadaiwa kupangishwa kwa Lucas bila ridhaa ya familia huku Aidan Msigwa akidai kulinunua kisheria na kubadilisha umiliki wa leseni kutoka kwa Daud na kuja kwake tangu April 22,2024.
Trending
- Nilivyolazimika Kuacha Kazi Nzuri Ili Kuhifadhi Ndoa Yangu Isivunjike
- TUME YATANGAZA WABUNGE 115 WA VITI MAALUM
- Nilivyogundua Ndugu Yangu Aliyekuwa Akiniombea Kwa Mabaya Bila Mimi Kujua
- Nilivyogundua siri ya kuishi bila msongo wa Mawazo baada ya kupoteza kila kitu
- Nilivyofanikiwa Kumfanya Mtoto Wangu Aache Tabia ya Ukaidi na Kuanza Kufanya Vizuri Shuleni
- Mume Wangu Aliniacha Bila Sababu, Lakini Miaka Mitatu Baadaye Akaja Akiomba Kunitaka Tena
- Dkt. Tulia Aongoza kwa Vitendo, Apiga Kura na Kuhamasisha Ushindi wa CCM Uyole
- DKT MARY MWANJELWA AUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA AHAMASISHA KUJITOKEZA KWA WINGI AMANI IMETAWALA

