Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

KWA MARA NYINGINE, MHANDISI MAHUNDI AWAPA NEEMA WAGONJWA WA MACHO

July 1, 2025

MWAKIPESILE AREJESHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI

June 30, 2025

Msimu wa pili wa tamasha la michezo na vipaji MZRH

June 30, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • KWA MARA NYINGINE, MHANDISI MAHUNDI AWAPA NEEMA WAGONJWA WA MACHO
  • MWAKIPESILE AREJESHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI
  • Msimu wa pili wa tamasha la michezo na vipaji MZRH
  • MKULIMA NA MFUGAJI WA MBARALI ATIA TIMU KIPUTE JIMBO LA MBARALI USANGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE
  • WAKILI MSOMI KAPTENI MSTAAFU SAMBWEE SHITAMBALA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI.
  • MWAISUMBE: ALIYEJITOSA UBUNGE 2010 AWANIA TENA MBEYA MJINI AAHIDI KUMUUNGA MKONO ATAKAYETEULIWA
  • MHASIBU SUA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA SAME MASHARIKI
  • MWANAHABARI MKONGWE CHARLES MWAKIPESILE AJITOSA UBUNGE MBEYA MJINI
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Alimkataa mtoto kwa madai hawezi kumpa mwanamke mimba, nifanyaje?
Matukio ya Kijamii

Alimkataa mtoto kwa madai hawezi kumpa mwanamke mimba, nifanyaje?

Mbeya YetuBy Mbeya YetuDecember 23, 2024Updated:December 23, 2024No Comments6 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Naitwa Jeska, katika ujana nilijikuta nipo njia panda ambayo hadi leo naweza sema imeniweka kwenye mazingira magumu ila imenipa funzo kuwa tiba za asili ni muhimu kwa sisi wa Afrika.

Miaka kama minne iliyopita nilikutana na kijana mmoja anayetokea familia ya kutajiri, tulipendana sana na tulifanya kila kitu, baada ya muda nilibeba ujauzito wake.

Kwa bahati mbaya, kumbe mwenzangu alikuwa na matatizo tangu kuzaliwa bila mimi kujua na hakuwahi kuniambia, sina hakika ni matatizo gani, ila alikuwa hawezi kujaza mtu mimba.

Hivyo nilipomwambia nina ujauzito wake, alikataa kabisa mimba, mimi nilidhani labda uoga tu ila aliendelea kunisisitiza nimtafute mwenye mimba na sio yake.

Nilishangaa sana, nikikumbuka mbona mimi sio mchepukaji kabisa na sijawa kutembea na mwanaume mwingine zaidi yake na sina kumbukumbu ya kufanya usaliti? imekuaje?

Siwezi kusahau, alinipiga sana yaani akinishtumu kuwa mimi ni msaliti na nimtafute mwenye mimba, wakati sielewi mwelekeo wa maisha, alitokea kijana Mwanajeshi, ukweli alitokea kunipenda na alinitolea mpaka posa nyumbani kwetu hivyo nikawa nasubiria tu ndoa.

Siku moja uliingia ugeni mzito pale nyumbani walituweka mtu kati na wazee wao wakisisitiza mimba sio yao na nimtaje mwenye mimba, walisisitiza kuwa mtoto wao ana matatizo na hawezi kumpa mtu mimba hivyo nipambane hali yangu na nisimjue tena.

Acha tu, niliumia sana, mbaya zaidi nilikuwa na uhakika kuwa ni yake na hakuna mtu anayenielewa, sitakaa kusahau nilijifungua kwa tabu kidogo sababu ya stress japo Mjeda alisema atalea mtoto na hana shida.

Cha ajabu kujifungua mtoto amefanana sana yule kaka, tena kafanana na baba yake kila kitu, sasa ndugu wakaajua yule ni mtoto wao, hivyo wakataka kumgharamia matuzo kila kitu.

Yule mpenzi wangu alikuja nyumbani pekee yake na kunieleza kweli alikuwa na tatizo hilo na alienda Hospitali mbalimbali bila kupona.

Mwisho wa siku aliamua kutumia dawa za mitishamba kwa siri kutoka kwa Dr Bokko bila kuwaambia ndugu zake. Na sasa ameamini kweli dawa za Dr Bokko  zinafanya kazi vizuri.

Nimekwa njia panda maana anataka turudiane na kwao wana maisha mazuri sana, lakini mwanajeshi kashanitolea na posa na ninaogopa kumwaacha. Je, nifanye nini?. Mpigie Dr Bokko kwa namba +255618536050.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Spika wa Bunge la Tanzania aongoza Waombolezaji kutoa Rambirambi kwa Kifo cha Katibu wa Bunge la Zambia

April 8, 2025

Wezi waliopora Sh16 milioni dukani wazingira na nyuki mikononi!

February 20, 2025

Kati ya hawa wanaume watatu niolewe na yupi?

February 19, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024173

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202482

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202568

DKT. TULIA ATOA MSAADA WA VIPAZA SAUTI MSIKITI WA MASJID BI FATMA NZOVWE JIJINI MBEYA

March 29, 202459
Don't Miss
Video Mpya

KWA MARA NYINGINE, MHANDISI MAHUNDI AWAPA NEEMA WAGONJWA WA MACHO

By Mbeya YetuJuly 1, 20250

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi Julai 1,2025 amefungua kambi ya matibabu bila gharama kwa wagonjwa wa macho Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mbeya inayolenga kuwafikia wagonjwa zaidi ya mia mbili.

Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema gharama zote za uchunguzi,dawa na matibabu ni bure kupitia wadau wake kutoka Ujerumani na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya.

Dkt Fariji Kilewa Mkuu wa Kitengo cha macho Hospitali ya Mkoa wa Mbeya amesema lengo ni kuwafikia wagonjwa zaidi ya mia mbili waliopo Mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.

Aidha amesema mbali ya upasuaji wa mtoto wa jicho pia wanawafanyia uchunguzi wa macho kwa matatizo mengine ya macho.

Hata hivyo Dkt Fariji Kilewa amesema gharama za upasuaji wa mtoto wa jicho zinagharimu zaidi ya shilingi laki tatu ambazo ni watu wachache wanaoweza kumudu gharama hizo.

Afisa uhusiano Hospitali ya Mkoa wa Mbeya Agrey Mwaijande amesema gharama zote zinatolewa bure hivyo wito umetolewa kwa wananchi kuitumia vizuri fursa hiyo.

Baadhi ya wagonjwa waliojitokeza kupatiwa watibabu wamepongeza huduma hiyo kutokana na wengi wao kushindwa kumudu gharama za matibabu ya macho.

Hii ni kambi ya pili kwa Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi kuandaa kambi ya macho iliyoanza juni 30,2025 itakayotamatika julai 5,2025kwa ushirikiano na Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.

MWAKIPESILE AREJESHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI

June 30, 2025

Msimu wa pili wa tamasha la michezo na vipaji MZRH

June 30, 2025

MKULIMA NA MFUGAJI WA MBARALI ATIA TIMU KIPUTE JIMBO LA MBARALI USANGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE

June 30, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

KWA MARA NYINGINE, MHANDISI MAHUNDI AWAPA NEEMA WAGONJWA WA MACHO

July 1, 2025

MWAKIPESILE AREJESHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI

June 30, 2025

Msimu wa pili wa tamasha la michezo na vipaji MZRH

June 30, 2025
Most Popular

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024173

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202482

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202568
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.