Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Alivyovutia fursa kubwa katika kutengeneza samani na kuuza

December 10, 2025

MEYA ISSA ACHARUKA—AMLIPUA MKANDARASI WA SOKO MATOLA NA STENDI KUU KWA KUCHELEWESHA UJENZI

December 10, 2025

Mama Ashikiliwa Kwa Tuhuma za Mauaji ya Mtoto Wake wa Miaka 10

December 10, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Alivyovutia fursa kubwa katika kutengeneza samani na kuuza
  • MEYA ISSA ACHARUKA—AMLIPUA MKANDARASI WA SOKO MATOLA NA STENDI KUU KWA KUCHELEWESHA UJENZI
  • Mama Ashikiliwa Kwa Tuhuma za Mauaji ya Mtoto Wake wa Miaka 10
  • Baada ya hapo ndipo akapata kazi kubwa zaidi!
  • SIMBACHAWENE ATEMBEA MITAANI KUANGALIA USALAMA—AWAPA HONGERA WANANCHI KWA UTULIVU
  • Taarifa nyingine Tena Toka jeshi la polisi
  • 2021 11 26 14 36 44
  • SHILINGI BILIONI 6.7 KUTIBU WAGONJWA 760 WASIO NA UWEZO WA KUMUDU GHARAMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » MWEF YATOA MSAADA KWA HOSPITALI YA WAZAZI META
Video Mpya

MWEF YATOA MSAADA KWA HOSPITALI YA WAZAZI META

Mbeya YetuBy Mbeya YetuDecember 26, 2024No Comments2 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Taasisi ya Maryprisca Women Impowerment Foundation(MWEF)inayoongozwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi imetembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa ajili ya kutoa msaada kwa wazazi waliojifungua siku ya sikukuu ya Christmas.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Maryprisca Women Impowerment Foundation Adam Simbaya amesema lengo la kutembea Hospitali ya wazazi Meta ni kumshukuru Mungu pia akianisha zawadi zilizotolewa kuwa ni pamoja na maziwa, sabuni,pampas na wipes.

Aidha Simbaya amesema wanaunga mkono juhudi zinazofanywa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi ambaye amekuwa akiyagusa makundi mbalimbali yakiwemo ya wanawake na watoto.

Scolastica Kapinga ni muuguzi wa zamu kwa niaba ya uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya Kitengo cha Wazazi Meta ameishukuru Taasisi hiyo kwa kutoa msaada kwa wazazi na watoto sanjari na maboresho makubwa yaliyofanywa na serikali yamefanya watoe huduma kwa ufanisi mkubwa.

Kapinga amesema jumla ya watoto 18 wamezaliwa siku ya sikukuu ya Christmas tisa wakiwa ni wa kiume na tisa wa kike.

Afisa Ustawi wa Jamii Wiberd Mussa ameishukuru Taasisi kwa upendo kuwakumbuka watoto huku akiwataka wadau wengine kujitokeza kutoa misaada kwa wazazi na watoto ambao baadhi hutoka nje ya Mkoa wa Mbeya.

Tusekile Abel na Hafsa Hassan ni wazazi waliojifungua watoto mapacha kila mmoja wameishukuru Taasisi kwa kuwapa msaada pia wakiwashukuru madaktari na wauguzi kwa huduma nzuri.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

MEYA ISSA ACHARUKA—AMLIPUA MKANDARASI WA SOKO MATOLA NA STENDI KUU KWA KUCHELEWESHA UJENZI

December 10, 2025

Mama Ashikiliwa Kwa Tuhuma za Mauaji ya Mtoto Wake wa Miaka 10

December 10, 2025

SIMBACHAWENE ATEMBEA MITAANI KUANGALIA USALAMA—AWAPA HONGERA WANANCHI KWA UTULIVU

December 9, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025249

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025234

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024207

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025130
Don't Miss
Uncategorized

Alivyovutia fursa kubwa katika kutengeneza samani na kuuza

By Mbeya YetuDecember 10, 20251

Kijana mnyenyekevu na mwenye kipaji kikubwa cha kutengeneza samani, Musa alizaliwa na kukulia Bukoba, mji…

MEYA ISSA ACHARUKA—AMLIPUA MKANDARASI WA SOKO MATOLA NA STENDI KUU KWA KUCHELEWESHA UJENZI

December 10, 2025

Mama Ashikiliwa Kwa Tuhuma za Mauaji ya Mtoto Wake wa Miaka 10

December 10, 2025

Baada ya hapo ndipo akapata kazi kubwa zaidi!

December 9, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Alivyovutia fursa kubwa katika kutengeneza samani na kuuza

December 10, 2025

MEYA ISSA ACHARUKA—AMLIPUA MKANDARASI WA SOKO MATOLA NA STENDI KUU KWA KUCHELEWESHA UJENZI

December 10, 2025

Mama Ashikiliwa Kwa Tuhuma za Mauaji ya Mtoto Wake wa Miaka 10

December 10, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025249

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025234

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024207
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.