Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

“KUNUNA MWISHO – MWALUNENGE AWAPA MOTISHA VIJANA WA KIWIRA: PESA IPO, CHANGAMKIA FURSA”

December 10, 2025

Alivyovutia fursa kubwa katika kutengeneza samani na kuuza

December 10, 2025

MEYA ISSA ACHARUKA—AMLIPUA MKANDARASI WA SOKO MATOLA NA STENDI KUU KWA KUCHELEWESHA UJENZI

December 10, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • “KUNUNA MWISHO – MWALUNENGE AWAPA MOTISHA VIJANA WA KIWIRA: PESA IPO, CHANGAMKIA FURSA”
  • Alivyovutia fursa kubwa katika kutengeneza samani na kuuza
  • MEYA ISSA ACHARUKA—AMLIPUA MKANDARASI WA SOKO MATOLA NA STENDI KUU KWA KUCHELEWESHA UJENZI
  • Mama Ashikiliwa Kwa Tuhuma za Mauaji ya Mtoto Wake wa Miaka 10
  • Baada ya hapo ndipo akapata kazi kubwa zaidi!
  • SIMBACHAWENE ATEMBEA MITAANI KUANGALIA USALAMA—AWAPA HONGERA WANANCHI KWA UTULIVU
  • Taarifa nyingine Tena Toka jeshi la polisi
  • 2021 11 26 14 36 44
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Kumbe alinitumia kupona maumivu ya kufiwa na mkewe!
Matukio ya Kijamii

Kumbe alinitumia kupona maumivu ya kufiwa na mkewe!

Mbeya YetuBy Mbeya YetuFebruary 16, 2025Updated:February 16, 2025No Comments5 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jina langu ni Beatrace, katika maisha yangu hapo awali sikuwahi kuolewa. Nilizaa watoto wawili na maisha yakaendelea, hivyo sikubahatika kupata mume wa kunioa rasmi aniweke ndani kama mke wake.

Sasa nilikuwa na rafiki yangu, sisi tulikuwa marafiki zaidi ya miaka 15 toka wadogo tukisoma, yeye aliolewa na akawa na maisha yake lakini urafiki ukaendelea.

Sasa akafariki, nikaendeleza ukaribu na familia yake (watoto na mume wake) tumeishi hivyo mpaka tukajikuta tunaingia kwenye mahusiano ambayo yaliniumiza hadi nilipoenda kwa Kiwanga Doctors.

Sasa mimi nikaamua kuachana na mwanaume wa mtu niliyekuwa nae nikaendelea na huyu sababu niliona kama ana mapenzi ya kweli. Aliahidi atanioa ili nilee watoto wa rafiki yangu aliyemuachia watoto watatu.

Sasa ile wiki ya Christmas akapotea ghafla akawa hapatikani. Kwake alikuwa hayupo watoto kawapeleka kwa ndugu zake, yeye hakuniaga anaenda wapi. Kumbe ana mahusiano mengine na msichanaa mdogo tu na yuko kwenye hatua za kumuoa.

Iliniumia sana, yaani alikuwa ananiahidi ndoa wakati anajua kiu yangu. Nimemlelea watoto kama mama yao miaka miwili na kumpa mapenzi yote lakini anakuja kunilipa haya. Ina mana alikuwa ananitumia kupona kutoka kwenye maumivu ya kufiwa?.

Nilishajiamini kama nitaolewa hata kama ni ndoa ya uzeeni lakini mwanaume mwenyewe anaonekana hakua na mpango na mimi. Kiukweli niliumia sana maana mwanaume wa kwanza aliniacha nikiwa na mimba akaenda kuoa.

Mwanaume wa pili akaniacha baada ya kujifungua mtoto wangu wa pili akaenda kuoa. Huyu nae ananiacha bila taarifa anaenda kuoa kitoto kidgo kabisa.

Basi niliamua kusafiri kutoka nyumbani kwetu Arusha hadi Migori, Kenya ili kuonana na Kiwanga Doctors ambaye alinifanyia kile kinachojulikana kama marriage spell, uchawi maalamu kwa ajili ya kuvuta ndoa bila kujali una umri gani.

Haikuishia hapo, Kiwanga Doctors akatupa uchawi mwingine ujulikanao kama find lost lover spell ambao ni kwa ajili ya kurudisha mapenzi ambayo yamekufa. Basi vitu hivyo viwili zikamfanya yule mwanaume kuachana na kile kibinti na kurudi kwangu.

Hadi sasa ambapo naandika ushuhuda huu, ni mwaka wa sita tupo pamoja na tumezaa mtoto wetu mmoja. Ni wazi wengi wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambaye unaweza kumpata kupitia +254 769404965 au tembelea tovuti yao.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Kutoka kuchunga ng’ombe hadi kushinda Sh27.4 milioni ya jackpot

August 29, 2025

Spika wa Bunge la Tanzania aongoza Waombolezaji kutoa Rambirambi kwa Kifo cha Katibu wa Bunge la Zambia

April 8, 2025

Wezi waliopora Sh16 milioni dukani wazingira na nyuki mikononi!

February 20, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025249

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025234

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024207

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025130
Don't Miss
Video Mpya

“KUNUNA MWISHO – MWALUNENGE AWAPA MOTISHA VIJANA WA KIWIRA: PESA IPO, CHANGAMKIA FURSA”

By Mbeya YetuDecember 10, 20252

Alivyovutia fursa kubwa katika kutengeneza samani na kuuza

December 10, 2025

MEYA ISSA ACHARUKA—AMLIPUA MKANDARASI WA SOKO MATOLA NA STENDI KUU KWA KUCHELEWESHA UJENZI

December 10, 2025

Mama Ashikiliwa Kwa Tuhuma za Mauaji ya Mtoto Wake wa Miaka 10

December 10, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

“KUNUNA MWISHO – MWALUNENGE AWAPA MOTISHA VIJANA WA KIWIRA: PESA IPO, CHANGAMKIA FURSA”

December 10, 2025

Alivyovutia fursa kubwa katika kutengeneza samani na kuuza

December 10, 2025

MEYA ISSA ACHARUKA—AMLIPUA MKANDARASI WA SOKO MATOLA NA STENDI KUU KWA KUCHELEWESHA UJENZI

December 10, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025249

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025234

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024207
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.