Baada ya kuhitimu chuo kikuu, nilituma maombi ya kazi zaidi ya 20 katika taasisi mbalimbali za serikali. Kila wakati nilijipa matumaini, nikiamini elimu yangu itaniondoa mitaani lakini jibu lilikuwa lile lile kimya au majibu ya kukataliwa.
Nilijitahidi kumpenda kwa moyo wangu wote, nikamtunza hata kipindi hana kazi. Nilimwamini hata zaidi ya familia yangu.
Lakini mambo yalibadilika ghafla. Jamal alianza kuwa distant. Alikuwa hapokei simu zangu haraka kama zamani. Mara nyingine alikuwa na mood mbaya sana, hata hakutaka kuzungumza.
Nilivumilia, nikaamini labda ni stress za maisha. Hadi niliposikia kutoka kwa jirani kuwa amekuwa akionekana na mwanamke mmoja tajiri sana wa mjini. Mwanamke ambaye ana gari, biashara, na nyumba kubwa. Nilishindwa kuamini. Nilidhani ni uzushi. Soma zaidi hapa