Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA YADHAMIRIA KUONDOA ULEMAVU WA KUONA NA KUBORESHA AFYA YA MACHO SONGWE

September 15, 2025

MASACHE KASAKA ALIVYOMNADI BAHATI NDINGO UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA MBARALI

September 15, 2025

Baba Aibuka Na Kauli Kali Baada ya Mtoto Wake Kwanza Kumkana Mbele ya Watu

September 15, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA YADHAMIRIA KUONDOA ULEMAVU WA KUONA NA KUBORESHA AFYA YA MACHO SONGWE
  • MASACHE KASAKA ALIVYOMNADI BAHATI NDINGO UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA MBARALI
  • Baba Aibuka Na Kauli Kali Baada ya Mtoto Wake Kwanza Kumkana Mbele ya Watu
  • DANIEL CHONGOLO: ”BAHATI NDINGO NDIYE ALIYENIFUNDISHA MISAMIATI YA GN MIGOGORO YA ARDHI MBARALI”
  • STELLAH FIYAO MASHINE YA KUONGEA KUTOKEA CHADEMA YATIKISA KAMPENI KUMNADI BAHATI NDINGO
  • Ndele Mwaselela Awataka Wananchi Mbeya Mjini Wampigie Kura Samia na Timu Yake
  • Afrey Nsomba Aunguruma Uzinduzi wa Kampeni Mbeya Mjini
  • Timida: Tumpigie Kura Rais Samia, Mbunge na Madiwani kwa Maendeleo Endelevu Mbeya Mjini
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA YADHAMIRIA KUONDOA ULEMAVU WA KUONA NA KUBORESHA AFYA YA MACHO SONGWE
Uncategorized

HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA YADHAMIRIA KUONDOA ULEMAVU WA KUONA NA KUBORESHA AFYA YA MACHO SONGWE

Mbeya YetuBy Mbeya YetuSeptember 15, 2025Updated:September 15, 2025No Comments2 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Mbozi, Tanzania —  Na Mwandishi WETU

13/09/2023

Katika hatua muhimu ya kupunguza upofu unaepukika, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (MZRH) na Shirika Helen Keller International leo  wamewasili mkoani Songwe kwaajili ya kutoa Huduma Mkoba ya matibabu ya ugonjwa wa mtoto wa jicho “Cataract Management” kwa wananchi takribani 700 wa Songwe katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi (Vwawa).

Akiongea na waandshi wa habari, Dkt. Jofrey Josephat Mratibu wa Huduma za macho Mkoa wa Songwe ameeleza kuwa kambi hiyo ya siku 6 imelenga kukabiliana na magonjwa ya mtoto wa jicho vilevile kusogeza huduma hizo adimu katika maeneo ya karibu na wanapoishi (vijijini) ambapo imekuwa ngumu kupatikana na gharama kwa wananchi kuzifwata katika hospitali kubwa.

 “Kambi hii ya siku 6 inalenga kupunguza au kuondoka kabisa tatizo la ugonjwa wa mtoto wa jicho Tanzania “Cataract Management” mwananchi wa maeneo ya vijijii ambapo wamekuwa waadhirika wakubwa kutokana na kukosekana kwa huduma hizo na wataalamu waliobobea katika matibabu ya magonjwa ya macho katika maeneo yanayowazunguka na uwepo wa gharama katika kufuata huduma hizo hospitali kubwa zimekuwa ni kikwazo kikubwa kwa waathirika.”

Dkt Jofrey ameendelea kusema kuwa viko visababishi ugonjwa wa mtoto wa jicho baadhi ikuhusishwa na umri mrefu, wakati wengine wanahusishwa na mtindo wa maisha au watu wenye kisukari wana uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa jicho mapema maishani, pia matumizi ya muda mrefu ya dawa za steroid pia inaweza kuongeza hatari.

Ameeleza visababishi vingine vinaweza kuwa Mwangaza wa jua, Uvutaji Sigara na Matumizi ya Pombe na Majeraha ya Macho au Historia ya Familia.

DKt. Barnabas Mshangila, Ni Daktari Bingwa wa Macho Kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, ameeleza kuwa huduma hiyo ya matibabu ya upasuaji ya mtoto jicho inawezesha kurudisha nuru kwa mtu ambaye alikua haoni na kuweza kuiona dunia tena.

“upasuaji huu unachukua muda mfupi na magonjwa haezi sikia maumivu kwa sasbabu anapewa dawa ya kuzuia maumivu na baada ya siku moja kufanyiwa upasuaji magonjwa  anaweza kurudia kuona tena: – Dkt. Barnabas

Naye Meneja Mradi wa Shirika la Kimataifa la Helen Keller, Athumani Tawakali amesema wanaendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa Huduma za upasuaji mtoto wa jicho kwa wananchi wa Wilaya ya Songwe pia ameshukuru Uongozi Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya na Mkoa wa Songwe kwa ushirikiano ambao wamekuwa wakipatiwa na ameeleza kuwa Mradi huu, unaofadhiliwa na Alcon Foundation, unalenga kuboresha huduma za afya ya macho kwa kurejesha kuona kwa maelfu ya wananchi katika mkoa katika mikoa ya Songwe, Mbeya, Njombe na  Iringa,.

Nao Edward Mkoko na Ericka Mzihowakazi wa mkoa wa songwe waliojitokeza kupata huduma za matibabu hayo, wameishukuru Serikali, Wataalamu wa macho na waandaji wa kambi hiyo kwa kuwasogezea huduma hiyo karibu na maeneo yao bila malipo au gharama nyinginezo.

Kama sehemu ya jitihada hizi, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa kushirikiana na Helen Keller Intl, wamejiandaa kuendesha kambi ya siku 6 ya upasuaji wa mtoto wa jicho katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi kuanzia tarehe 12 hadi 19 Septemba 2025 ambapo inatarajiwa wananchi zaidi ya 700 wafanyiwa matibabu ya upasuaji wa mtoto wa jicho

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Baba Aibuka Na Kauli Kali Baada ya Mtoto Wake Kwanza Kumkana Mbele ya Watu

September 15, 2025

Nilidharauliwa na Wapenzi Wote, Lakini Hirizi Niliyopata Ilinigeuza Kivutio Kisichopingika kwa Kila Mwanaume

September 13, 2025

Mwanamke Alipata Furaha Baada ya Kuondoa Migogoro ya Ndoa

September 12, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025208

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024184

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025125

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025121
Don't Miss
Uncategorized

HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA YADHAMIRIA KUONDOA ULEMAVU WA KUONA NA KUBORESHA AFYA YA MACHO SONGWE

By Mbeya YetuSeptember 15, 20252

Mbozi, Tanzania —  Na Mwandishi WETU 13/09/2023 Katika hatua muhimu ya kupunguza upofu unaepukika, Hospitali…

MASACHE KASAKA ALIVYOMNADI BAHATI NDINGO UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA MBARALI

September 15, 2025

Baba Aibuka Na Kauli Kali Baada ya Mtoto Wake Kwanza Kumkana Mbele ya Watu

September 15, 2025

DANIEL CHONGOLO: ”BAHATI NDINGO NDIYE ALIYENIFUNDISHA MISAMIATI YA GN MIGOGORO YA ARDHI MBARALI”

September 15, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA YADHAMIRIA KUONDOA ULEMAVU WA KUONA NA KUBORESHA AFYA YA MACHO SONGWE

September 15, 2025

MASACHE KASAKA ALIVYOMNADI BAHATI NDINGO UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA MBARALI

September 15, 2025

Baba Aibuka Na Kauli Kali Baada ya Mtoto Wake Kwanza Kumkana Mbele ya Watu

September 15, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025208

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024184

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025125
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.