Kwa miaka mitano nilikuwa mtu wa wasiwasi na mwenye hofu. Nilikuwa nimezama kwenye madeni baada ya biashara yangu ndogo kushindwa. Kila mwezi nilipokea simu za wakopeshaji wakinitisha, wengine walikuja hadi nyumbani kwangu wakinidhalilisha mbele ya majirani.

Nilianza kuishi maisha ya kujificha, hata niliacha kushirikiana na marafiki kwa sababu kila mtu alidhani mimi ni mtu asiye na nidhamu ya kifedha. Kila nilipopata pesa kidogo ziliishia kulipa riba na bado deni halikupungua. Nilikuwa nimechoka, moyo wangu ulikuwa mzito, na nilianza kupoteza matumaini ya kuanza upya.
Nilijaribu njia nyingi za kujiondoa kwenye madeni kuomba msaada wa familia, kufanya kazi mbili kwa wakati mmoja, hata kuuza baadhi ya vitu vyangu vya thamani lakini bado nilihisi kama shimo la madeni halikuwa na mwisho.
Wakati fulani nilifikiria kukimbia mji nianze maisha mapya kwingine bila kujulikana, lakini moyo wangu haukuniruhusu. Nilijua lazima kuwe na njia nyingine ya kurekebisha maisha yangu bila kuishi mafichoni. Soma zaidi hapa

 
		 
									 
					