Kwa miaka mitatu niliteseka na kitambi ambacho kilinifanya nipoteze kabisa kujiamini. Kila nikivaa nguo nilihisi kama kila mtu alikuwa ananiangalia tumbo langu. Nilijaribu mazoezi, nilikata chakula cha mafuta, hadi nikajaribu dawa nyingi za kupunguza tumbo nilizonunua mtandaoni, lakini hakuna hata moja iliyofanikiwa. Wakati mwingine nilikuwa nikilia usiku nikiwa nimekata tamaa kabisa, nikijiuliza kama nitawahi kuwa na mwili niliokuwa nauota.
Kila nikipita sokoni, wauzaji wa nguo waliniambia waziwazi kuwa nguo nyingi hazingenitosha kwa sababu ya tumbo langu. Wengine walinicheka wakisema labda nilikuwa mjamzito. Maumivu ya maneno hayo yalinichoma sana. Nilianza kuvaa nguo kubwa kubwa ili kuficha umbo langu. Hata marafiki zangu walipoenda kuogelea au kwenye hafla nilijiepusha, nikiwa na hofu watu wangenicheka.
Siku moja, nilikutana na rafiki yangu wa zamani ambaye nilikuwa sijamwona kwa muda. Nilishangaa kuona jinsi alivyoonekana mwembamba na mwenye umbo zuri, tofauti kabisa na tulivyokuwa zamani. Nilimdadisi, nikamwambia kuwa nimehangaika na kitambi kwa muda mrefu. Akanicheka kisha akaniambia, “Mimi nilikuwa kama wewe, lakini nilipata suluhisho la asili lililobadilisha kila kitu.”

