Kwa muda mrefu, Paul alikuwa mmoja wa wale vijana waliokuwa hawaamini kabisa katika bahati. Kila alipowaona marafiki zake wakicheza bet, yeye alikuwa wa kwanza kuwacheka na kusema, “Mimi sichezi michezo ya kubahatisha, siwezi kupoteza pesa yangu kwa bahati nasibu.” Hata hivyo, maisha yalikuwa na mipango tofauti kwake.
Paul alikuwa kijana wa kawaida aliyekuwa akifanya kazi ya kuuza simu katika duka dogo. Kila mwezi alikuwa akijikakamua kulipa kodi na kusaidia familia yake. Lakini hali ya maisha ilikuwa ngumu, hasa baada ya mama yake kuugua ghafla. Alijikuta akihangaika kukusanya pesa za matibabu bila mafanikio. Ndipo rafiki yake mmoja, ambaye alikuwa akicheza bet mara kwa mara, akamwambia, “Paul, jaribu bahati yako mara moja, huwezi jua Mungu amepanga nini.”
Alianza kucheka, lakini usiku huo alirudi nyumbani akiwa na mawazo mengi. Alifungua simu yake, akapakua app ya bet na kuanza kucheza kwa kiasi kidogo sana shilingi mia moja tu. Siku iliyofuata, alishangaa alipogundua kuwa ameshinda elfu kumi. Ilikuwa ni mara yake ya kwanza kabisa kushinda. Ingawa pesa hiyo haikuwa nyingi, ilimfanya kufikiria upya kuhusu imani yake kwenye bahati. Soma zaidi hapa

