Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

JUMUIYA YA WAZAZI CCM YAFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 KWA MATEMBEZI YA AMANI – MBEYA MJINI

January 30, 2026

Makonda: Serikali Yatenga TZS Bilioni 2 Kukuza Watengenezaji wa Maudhui Mtandaoni

January 30, 2026

MAKALA:WAKAZI WA WILAYA YA KYELA WANAVYOCHANGAMKIA FURSA ZA ZIWA NYASA

January 30, 2026
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • JUMUIYA YA WAZAZI CCM YAFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 KWA MATEMBEZI YA AMANI – MBEYA MJINI
  • Makonda: Serikali Yatenga TZS Bilioni 2 Kukuza Watengenezaji wa Maudhui Mtandaoni
  • MAKALA:WAKAZI WA WILAYA YA KYELA WANAVYOCHANGAMKIA FURSA ZA ZIWA NYASA
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica Yegella, Atoa Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita Siku 100
  • TAASISI ZA PICTERUS AS NA GOAL 3 KUANZISHA TEKNOLOJIA YA KISASA YA KUPIMA MANJANO KWA WATOTO WACHANGA TANZANIA
  • MAHUNDI: SERIKALI YAELEZA SABABU ZA KUTOWALAZIMISHA WATOTO KUWAHUDUMIA WAZAZI.
  • WAZEE WASHIRIKIANA NA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII ZOEZI LA UPANDAJI MITI DODOMA.
  • Wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Waadhimisha Kuzaliwa Rais Samia kwa Mshikamano
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » JUMUIYA YA WAZAZI CCM YAFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 KWA MATEMBEZI YA AMANI – MBEYA MJINI
Habari za Kitaifa

JUMUIYA YA WAZAZI CCM YAFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 KWA MATEMBEZI YA AMANI – MBEYA MJINI

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJanuary 30, 2026No Comments13 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini imefanya matembezi ya amani leo, ikiwa ni sehemu ya ufunguzi rasmi wa maadhimisho ya miaka 49 tangu kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, kilichoasisiwa Februari 5 mwaka 1977.

Akizungumza mara baada ya matembezi hayo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Mbeya Mjini, Emmanuel Mwalupindi, amewataka wanachama wa chama hicho kuondoa hofu na uoga katika kukitumikia chama chao, akisisitiza kuwa CCM ni chama chenye misingi imara na historia kubwa ya kulihudumia Taifa.

Kwa upande wake, Katibu wa Shirikisho la Walimu wa CCM Mkoa wa Mbeya, Daud Siame, ametumia nafasi hiyo kuhimiza amani, mshikamano na umoja miongoni mwa wanachama wa chama hicho, akisema mshikamano ndio nguzo muhimu ya mafanikio ya chama na Taifa kwa ujumla.

Baadhi ya wanachama walioshiriki katika matembezi hayo wameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kijamii inayotekelezwa na chama hicho, ikiwemo katika sekta za elimu, afya na miundombinu, wakisisitiza kuwa CCM imeendelea kugusa maisha ya wananchi.

Maadhimisho ya miaka 49 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi yanaendelea nchi nzima kwa shughuli mbalimbali za kijamii, huku wanachama wakisisitiza umoja, amani na mshikamano kama msingi wa kuendeleza maendeleo ya Taifa.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica Yegella, Atoa Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita Siku 100

January 29, 2026

MAHUNDI: SERIKALI YAELEZA SABABU ZA KUTOWALAZIMISHA WATOTO KUWAHUDUMIA WAZAZI.

January 28, 2026

WAZEE WASHIRIKIANA NA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII ZOEZI LA UPANDAJI MITI DODOMA.

January 27, 2026

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025318

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025245

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024223

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025136
Don't Miss
Habari za Kitaifa

JUMUIYA YA WAZAZI CCM YAFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 KWA MATEMBEZI YA AMANI – MBEYA MJINI

By Mbeya YetuJanuary 30, 202613

Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini imefanya matembezi ya…

Makonda: Serikali Yatenga TZS Bilioni 2 Kukuza Watengenezaji wa Maudhui Mtandaoni

January 30, 2026

MAKALA:WAKAZI WA WILAYA YA KYELA WANAVYOCHANGAMKIA FURSA ZA ZIWA NYASA

January 30, 2026

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica Yegella, Atoa Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita Siku 100

January 29, 2026
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

JUMUIYA YA WAZAZI CCM YAFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 KWA MATEMBEZI YA AMANI – MBEYA MJINI

January 30, 2026

Makonda: Serikali Yatenga TZS Bilioni 2 Kukuza Watengenezaji wa Maudhui Mtandaoni

January 30, 2026

MAKALA:WAKAZI WA WILAYA YA KYELA WANAVYOCHANGAMKIA FURSA ZA ZIWA NYASA

January 30, 2026
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025318

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025245

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024223
© 2026 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.