Miaka ya hivi karibuni, Mbeya limeendelea kushuhudia mageuzi makubwa ya kiuchumi yanayochochewa na mazingira rafiki ya uwekezaji pamoja na uboreshaji wa miundombinu ya kisasa. Miongoni mwa alama za maendeleo hayo ni ujenzi wa AH City Mall — jengo la kisasa lenye ngazi za umeme (escalator) ambalo limekuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa jiji na maeneo ya jirani. Watu wengi hufika si tu kwa shughuli za kibiashara, bali pia kwa matembezi na kupiga picha, wakivutiwa na hadhi yake ya kuwa jengo la kwanza katika Ukanda wa Nyanda za Juu Kusini kuwa na mfumo huo wa kisasa wa ngazi za umeme.
Trending
- Dkt. Godlove Mbwanji, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, ashiriki kampeni ya kitaifa ya uwekezaji wa ndani.
- MBEYA YAANDIKA HISTORIA: NGazi ZA UMEME ZA KWANZA NYANDA ZA JUU KUSINI
- ZIMAMOTO WAOPOA MWILI WA KIJANA ALIYEDAIWA KUWA MWANAFUNZI WA CBE MBEYA
- Mvua na upepo mkali waathiri zaidi ya kaya 200 Mbeya
- TISEZA YASIFIA UWEKEZAJI WA BILIONI 8 WA BABITO TRADING COMPANY MBEYA
- AB YAPENDEKEZA MAPITIO MAKUBWA KULINDA BLOGA NA WATENGENEZA MAUDHUI
- SHEIKH WA MKOA MBEYA ATOA UJUMBE KWA WAISLAMU KUELEKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
- EFTA YACHOCHEA UCHUMI KWA HATI FUNGANI YA BILIONI 50

