Author: Mbeya Yetu

#MbeyaYetuTv
Sakata la watuhumiwa wa mauaji ya Tenson Ndege Meta mkazi wa Makongolosi Chunya bado lipo katika sura yenye utata huku watoto wa marehemu na mkewe wakisisitiza kutotendewa haki na kudai kuwa Tenson Ndege aliuawa.
Wakazi wa Kijiji cha Kitete alikokuwa akiishi marehemu Tenson Ndege Meta nao wapaaza sauti zao….tufuatilie hapa hapa #mbeyayetuonlinetv

-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: “EXCLUSIVE: GADNA NA MWANAE: Nataka mwanangu awe na ShugaDaddy/Siamini mahusiano ”
https://www.youtube.com/watch?v=0IbU8Yve4S4
-~-~~-~~~-~~-~-

Read More

#MbeyaYetuTv
Mashujaa 66 wa vita vya Majimaji waliopinga unyanyasaji wa Wakoloni wa Kijerumani walikamatwa na kunyongwa hadi kufa na kuzikwa katika kaburi la pamoja lililopo katika makumbusho ya Mashujaa wa Majimaji eneo la Mahenge Songea mkoani Ruvuma.

-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: “EXCLUSIVE: GADNA NA MWANAE: Nataka mwanangu awe na ShugaDaddy/Siamini mahusiano ”
https://www.youtube.com/watch?v=0IbU8Yve4S4
-~-~~-~~~-~~-~-

Read More