Author: Mbeya Yetu

Kwa miaka saba, nilijaribu kila njia kupata mtoto lakini sikufanikiwa. Nilikuwa kwenye ndoa nzuri mwanzoni, lakini kadri muda ulivyopita bila mimba, kila kitu kilianza kubadilika. Mume wangu, ambaye awali alikuwa mpole na mwenye upendo, alianza kuwa mtu tofauti kabisa. Alianza kuchelewa kurudi nyumbani, na mara nyingine hakuwa akizungumza nami hata siku nzima. Nilikimbilia hospitali mara kadhaa. Vipimo vyote vilionyesha niko sawa. Nilifanyiwa hata upasuaji mdogo ili kusafisha mirija ya uzazi. Madaktari waliniambia “subiri tu, wakati wako utakuja,” lakini miaka ikaenda bila dalili yoyote ya ujauzito. Marafiki na hata baadhi ya ndugu walianza kunitenga, huku wakinong’ona kuwa labda nilikuwa nimetumia ujana…

Read More

Wakati mwingine mapenzi yanaweza kuwa ya kushangaza sana. Nilipomuona kwa mara ya kwanza akiwa na suti ya kijivu, tai ya maroon na viatu vya rangi ya kahawia iliyong’aa, nilihisi moyo wangu ukiruka kama vile mtu aliyeguswa na umeme. Hakuwa staa wa filamu, wala hakuwa tajiri mkubwa lakini alivyojitokeza, alivyonukia, na alivyonena ilitosha kunichanganya. Nilijua huyo ndiye mtu niliyetaka kuwa naye maishani, lakini haikuwa rahisi hata kidogo. Nilijaribu kila njia kumpata. Nilimfuata Instagram, nikaanza kupenda kila picha yake. Nilijitahidi kuonekana maeneo yale yale aliyokuwa akitembelea. Nilijifanya kuomba msaada wa kitaalamu kazini kwake ili angalau tupate muda wa maongezi. Lakini bado hakunipa…

Read More

Kwa miaka mitano, kila kitu maishani mwangu kilikuwa kimepoa hakuna kazi, hakuna hela, hakuna mpenzi. Rafiki zangu walikuwa wanaoa, wanajenga nyumba, wengine wakifungua biashara zao. Mimi nilikuwa kwa nyumba ya cucu, nikiomba data ili nicheki memes za Instagram. Nilikuwa nimekata tamaa, na neno “success” lilikuwa kama hadithi za katuni kwangu. Nilikuwa nimezama kwenye dry spell ya maisha. Hakuna msichana aliyeweza kunipa attention ata DM zangu zilikuwa seen only. Interview zote nilizoenda, nilikataliwa. Kwenye familia, nilianza kuonekana mzigo. Marafiki wangu walikuwa wakiniita “invisible investor” kwa sababu nilikuwa kila mahali lakini sifanyi lolote. Soma zaidi hapa 

Read More

Sikuwahi kufikiria mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote angeweza kunifanya vile alivyofanya. Niliishi na Kevin kwa miaka mitano. Tulikuwa na mipango ya maisha, mipango ya harusi, mipango ya watoto na hata mipango ya kununua kiwanja pamoja. Nilikuwa naamini tuko pamoja kwa kila hatua ya maisha. Lakini mambo yalibadilika haraka kuliko nilivyotarajia. Kwanza alianzisha kisingizio cha kazi nyingi. Halafu simu zikaanza kuwa busy usiku wa manane. Nikamkuta na lipstick kwa shati, akadai ni za dada wa ofisini. Polepole alibadilika. Hakuniangalia tena machoni, hakunitumia hata meseji za asubuhi. Nilivumilia sana. Nililia kwa mungu, nikamuuliza ni nini kosa langu. Lakini siku moja…

Read More

Kwa jina naitwa Baraka, kijana wa miaka 27 kutoka Iringa. Nilikuwa na uhusiano na msichana mmoja kwa karibu miaka miwili. Tulianza mapenzi yetu nikiwa bado nasoma chuo na tukaendelea hata baada ya kuhitimu. Nilimpenda kwa dhati, na hata familia yangu walishamjua kama mchumba wangu wa maisha. Lakini kuna siku moja tu mambo yalibadilika. Tulikuwa na mjadala mdogo kuhusu mustakabali wetu, na nikadhani ilikuwa ni mjadala wa kawaida kama wanandoa wa baadaye. Lakini msichana wangu aliona tofauti alitafsiri mazungumzo yale kama red flag, na kuniblock kila mahali. Nilishtuka. Nilijaribu kumtafuta kwa simu ilikuwa busy au haipatikani. WhatsApp, Facebook, Instagram, hata TikTok,…

Read More

Jina langu ni Wanjiku kutoka katika kauti ya Kisumu, nilikuwa mwanamitindo ambaye nilienda katika mashindano katika ukanda huu wa Afrika Mashariki kila mara. Sikutaka kuwa na kitu chochote ambacho kitanisumbua kwani hali ile ingefanya nisiweze kuwa maarufu. Nilikuwa nimeeda nchini Uganda na hapo nilishinda mataji, muda ulivyosonga, makovu yalianza kutokea kwenye uso wangu suala amabalo liliharibu urembo wangu kwa sana, wakati mwingi nilibaki kwenye chumba changu bila kutoa nje. Sikutaka yeyote kuniona, hali ile pia ilipelekea kushindwa kushiriki baadhi ya mashindano, kwa muda mrefu nilipoteza mengi kwani kwenye mashindano yale nilikuwa napata fedha nyingi tu. Suala lile lilikuwa linaniudhi sana,…

Read More

Baada ya kuhitimu chuo kikuu, nilituma maombi ya kazi zaidi ya 20 katika taasisi mbalimbali za serikali. Kila wakati nilijipa matumaini, nikiamini elimu yangu itaniondoa mitaani lakini jibu lilikuwa lile lile kimya au majibu ya kukataliwa. Wakati fulani nilihudhuria usaili na hata nikapata alama nzuri, lakini sikupewa nafasi. Badala yake, niliona watu ambao hata hawakuwa kwenye orodha ya waliofuzu wakichukuliwa. Nilianza kujihisi sina thamani, niliangalia marafiki zangu wakipata ajira, wengine kwa sababu ya “kuna mtu wao juu” au kwa sababu tu ya jina la familia. Mimi, kijana wa kawaida kutoka kijijini, nilionekana kama si wa daraja lao. Mama yangu aliwahi…

Read More

Majirani walidhani nina roho ya subira, lakini ukweli ni kwamba nilikuwa nimekufa ndani kwa ndani. Kwa miaka sita, nilibeba ndoa iliyojawa na fedheha, matusi, na kunyanyaswa. Mume wangu alikuwa mtu wa hasira za ghafla. Angeweza kurudi usiku wa manane, anuke pombe, na anichape kwa sababu tu nilikuwa nimelala mapema. Hakuna aliyejua machungu yangu, maana nilijificha nyuma ya tabasamu. Kila nikiomba ushauri kwa mama au dada zangu, walinambia “vumilia, ndoa ni uvumilivu.” Nilijaribu. Nilikaa kwa ajili ya watoto. Nilikaa kwa sababu sikuwa na kazi wala uwezo wa kujitegemea. Lakini kilichoniumiza zaidi ni kwamba hata nilipojaribu kuzungumza naye, hakuwa tayari kusikiliza. Alikuwa…

Read More

Baada ya kuhitimu chuo kikuu, nilituma maombi ya kazi zaidi ya 20 katika taasisi mbalimbali za serikali. Kila wakati nilijipa matumaini, nikiamini elimu yangu itaniondoa mitaani lakini jibu lilikuwa lile lile kimya au majibu ya kukataliwa. Nilijitahidi kumpenda kwa moyo wangu wote, nikamtunza hata kipindi hana kazi. Nilimwamini hata zaidi ya familia yangu. Lakini mambo yalibadilika ghafla. Jamal alianza kuwa distant. Alikuwa hapokei simu zangu haraka kama zamani. Mara nyingine alikuwa na mood mbaya sana, hata hakutaka kuzungumza. Nilivumilia, nikaamini labda ni stress za maisha. Hadi niliposikia kutoka kwa jirani kuwa amekuwa akionekana na mwanamke mmoja tajiri sana wa mjini.…

Read More

Ningekuambia nilivyochoka maisha, usingeamini. Mimi ni mama wa watoto wawili. Nilipoamua kuingia sokoni kuuza vitunguu, nyanya na mboga za majani, nilikuwa na matumaini makubwa. Niliamini bidii  yangu ingetosha. Niliamka kila siku saa kumi alfajiri, nikaenda Marikiti kununua bidhaa, nikarudi sokoni kabla hata kuku hawajawika. Niliweka bidhaa vizuri. Nilitabasamu kwa kila mteja. Nilihimili jua na mvua. Lakini bado, wateja walinipita kama siwapo. Wengine waliokuwa karibu yangu walikuwa wakinunuliwa kila saa. Wateja walikuwa wanapigana kwao hadi foleni inatokea. Mimi nilikuwa napiga darubini tu. Nilijua sina matatizo ya tabia, bidhaa zangu ni safi, lakini watu hawakunijali. Nilivumilia kwa mwaka mmoja. Mwaka wa pili…

Read More