#MbeyaYetuTv
Sakata la watuhumiwa wa mauaji ya mkazi wa Chunya Tenson Ndege Meta,kudaiwa kuachiwa huru, limechukua sura mpya baada ya Kaimu Mkuu wa Mashtaka mkoa wa Mbeya Basilius Namkambe kutoa msimamo wake na kuelezea namna taarifa zilizomo kwenye jalada la Daktari zinavyotofautiana na taarifa zinazodaiwa kuelezwa na ndugu wa marehemu,
Wakili Msomi Namkambe amesema kuwa anashangazwa na taarifa zinazodaiwa na wanandugu kufukuzwa wakati wa kufanyiwa uchunguzi mwili wa marehemu ilhali katika taarifa iliyowasilishwa na Daktari aliyefanya uchunguzi zimemuandika mmoja wa mashuhuda kuwa ni mke wa marehemu Rehema Daimon.l
Trending
- eGA yatoa mafunzo kwa Kamati ya Uongozi ya TEHAMA INEC
- WATUHUMIWA 20 WAKIWEMO RAIA WA KIGENI 04 WAKAMATWA KWA KUINGILIA MIFUMO YA MAWASILIANO.
- M/KITI JUMUIYA WAZAZI MBEYA(M) MWALUPINDI ASHIRIKI MAHAFALI SEKONDARI ITENDE ATOA SARUJI/VITABU
- Tumia njia hii watoto wako wafaulu mitihani Shuleni
- M/KT CCM MBEYA MJINI AFREY NSOMBA AWAFUNDA WAHITIMU KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDAR KALOBE
- MAJALIWA ATETA NA WAZIRI WA UCHUMI WA URUSI
- TARURA KATAVI YABORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
- Hii ndio dawa nzuri ya kumtuliza mume ndani ya ndoa!