Mbunge wa Jimbo la Lupa-Chunya Mh. Masache Kasaka aiomba serikali kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa wa mbeya Mh Juma Homera kukaa chini pamoja na Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kuangalia upya swala la kodi kwa wachimbaji wadogo ambazo imekuwa zikiwaumiza wachimbaji hao.
Mbali na maombi ya hayo Mh Masache Kasaka ameishukuru serikali chini ya Mh. Rais Samia Hassan kwa kuweka Mazingira mazuri kwa wachimbaji wadogo
SAMIANAMASACHE
CHUNYAKAZIINAENDELEA