- Watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI)leo Mei Mosi 2024 wameungana na Wafanyakazi Duniani kote kuadhimisha Siku yao adhimu ambapo kitaifa maadhimisho yanaendelea katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijinu Arusha na Mgeni Rasmi wa Sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor MpangoTAWIRI tunajivuni mchango mkubwa wa watumishi katika kusimamia, kuratibu na kufanya tafiti za wanyamapori nchini kwa ustawi wa uhifadhi na kukuza utalii nchini. Aidha, Kauli mbiu ya siku hii ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka huu ni *”Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha”*
Trending
- Viongozi 11 wa CHADEMA washikiliwa na Polisi Mkoa wa Songwe
- ZIARA YA NAIBU WAZIRI MAHUNDI ZANZIBAR
- Jinsi ya Kufikisha Malalamiko Kuhusu Mradi wa REGROW na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha
- Naibu Waziri Mhandisi Maryprisca Mahundi Akagua Hali ya Mawasiliano Kisiwani Kojani, Pemba
- Inauma sana: Mtoto wangu kaenda chuo kikukuu katumbukia katika umalaya na dawa za kulevya
- WALIOKUWA WANAENDA KUMZIKA NEEMA ALIYEFIA KARIAKOO WAPATA AJALI, MMOJA AJARIKI
- Mbunge Jimbo la Busokelo Mh Mwakibete Serikali ya chama cha Mapinduzi imeitendea haki mkoa wa Mbeya
- Mbunge wa Kyela Ally Jumbe Kinanasi Awakumbusha wana Mbeya