Watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI)leo Mei Mosi 2024 wameungana na Wafanyakazi Duniani kote kuadhimisha Siku yao adhimu ambapo kitaifa maadhimisho yanaendelea katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijinu Arusha na Mgeni Rasmi wa Sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango
TAWIRI tunajivuni mchango mkubwa wa watumishi katika kusimamia, kuratibu na kufanya tafiti za wanyamapori nchini kwa ustawi wa uhifadhi na kukuza utalii nchini.
Aidha, Kauli mbiu ya siku hii ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka huu ni *”Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha”*
Trending
- Hii ndiyo Shule ya Sekondari Mbeya DAY!! inazidi kung’ara
- Viziwi waipongeza Serikali huduma za Afya, waomba alama itakayowatambulisha katika usafiri
- KAILIMA: WENGI WAJITOKEZA KUBORESHA AU KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARIO LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
- Bodi ya TASAC yaridhishwa utekelezaji wa maagizo kwa TPA
- TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM (2020-2025) MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA – MH. MAHUNDI
- Tulia Traditional Dances Festival 2024 Kurundima Mkoani Mbeya
- Uvumi kifo cha Muimbaji wa Injili Bonny Mwaitege Wazazi Waiomba Serikali kuchukua hatua
- Mtoto adaiwa kumuua baba yake mzazi kwa shambulio la mwili